Application gani inatafsiri majina Android?

Application gani inatafsiri majina Android?

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,387
Reaction score
642
Habari wanajukwaa hili pendwa?

Ndugu zangu naomba kujua app ya kutafsiri majina inaitwaje na inapatikana playstore?

Niliona kwenye maonyesho ya nanenane dada mmoja unataja jina kisha anasachi anakwambia asili ya jina na maana yake.

Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom