Apple: Wameshindwa au hawajui hii weakness kwenye simu zao

Apple: Wameshindwa au hawajui hii weakness kwenye simu zao

Kwa wale wanaotumia simu ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaganda, wakitoa hiyo option itakuwaje hapo
Sasa kwa Nini utumie Simu inayoganda mkuu? Au sijaelewa maana sijawahi kukutana na hiyo situation. Unapodeactivate hiyo control centre while locked still unaendelea kuitumia ikiwa unlocked.
 
Mbona ni suala la setting tu hilo..umeanza kutumia iPhone lini?
 
Sisi wa android tokea 7 huzimi simu bila kutia nywira,labda utoe line.

Na tunakoelekea line pia zitakuwa hazikai kwenye simu,kama iphone x+,zilivyo na 2nd line ambayo huiweki humo.
 
Natumia Redmi note 8 nayo ni hivyo hivyo, unaweza kuwasha data, WiFi, aeroplane mode nk bila ku unlock
 
Sisi wa android tokea 7 huzimi simu bila kutia nywira,labda utoe line.

Na tunakoelekea line pia zitakuwa hazikai kwenye simu,kama iphone x+,zilivyo na 2nd line ambayo huiweki humo.
Redmi android 9 unazima data bila ku unlock
 
Siku simu yako iki freeze au touch screen ukiwa na shida ndio utajua faida ya kuweza kuzima simu yako hata ikiwa locked.

Pia kutoweza kuzima haizuii wezi kivile. Mwizi anaweza kutoka tu line na kuitupa.

Sidhani watengenezaji hawakufikiria. Ni mlinganyo wa pros na cons tu. Kuna factors nyingi wanaangalia.
 
I freeze inekuwa simu yako [emoji3061]
 
Wewe uliotumia toka toleo la mwanzo weka hapa hizo settings zako tujifunze

IMG_4168.png

Setting zote zipo hapo..hiyo contor center kama hujaipa access huwez zima data bila ku-unlock the same the features nyingine hapo..
 
Samsung S7 imeipiku hapa Iphone. Huwezi zima data/hotspot bila kutoa password.

Huwezi kurestart simu wala kuzima bila kuondoa Lock.

Hii ni simu ya 2016.
 
Tunaotumia viswaswadu tuna comment wapiiiih? Lol
 
Back
Top Bottom