Tuanze Polepole : unajua maana ya “SECURTY “ ni zaidi ya kutamka, Securty sio wewe unavyopenda tuu pia inavyotakiwa iwe ndio maana kila kitu kina security policy, soma za apple pia ziko strictly sana hata serekali ya [emoji631] inaziheshimu.
Sasa nikuulize tuu, kwa nini waweke “find my phone” wakati wanajua kuna kipengele cha Securty kirahisi kabisakinachoweza kuzuia isiwe na msaada ? Manake ukizima data au ukizima simu find my phone haina msaada tena.
Sio find my phone tuu simu yako imebiwa kwenye gari mko watu 50 , mwizi kazima chap hata kama data ulizima huwezi ipata kirahisi , ila isingezimwa ungepiga na ingeita.
Zaidi kuna simu zile zenye button ya silence on/off ubavuni, huoni pia ni rahisi pia mtu ku ku mute na akapotea na simu yako kirahisi.
MBAYA ZAIDI: Camera pia unaweza tumia hata kama ume lock, assume mtu umeacha mahali mtu akapiga picha za kishenzi na baadae zikatumika kama ushahidi, utafanya nini?
Zaidi nyingine mpaka mziki unaweza sikiliza pia ikiwa locked, ni sawa ?