Apple: Wameshindwa au hawajui hii weakness kwenye simu zao

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Pamoja na sifa za kuwa na Kiwango kikubwa za ulinzi, simu za iOS naona bado kuna sehemu hawakufikiria zaidi au wameamua kupotezea.

1 . Kuhusu usalama wa simu kwa nini ukiwa umelock simu bado mtu yeyote anaweza kuwasha/ kuzima data?

2. Ukiwa umelock pia kwa nini mtu yeyote anaweza zima simu .

Nilitegemea hizi ishu zingetakiwa mtu a unlock simu kwanza ndio afanikiwe, sasa leo
 
ilo la kuweza kuzima au kuwasha Data sio apple tu Natumia simu ya Xiaomi nayo una weza zima ama access Data ikiwa kwenye Lock
 
Tuambie madhara yatakayotokea endapo vitu hivyo vitaguswa.
Akizima data anaweza fanya simu yako isitoe live location na huwez jua simu ilikua wapi mara ya mwsho

Simu nyingi sikuhz ni sealed shut, so mtu hawezi zima simu yako kma akiiba. Ukiforce reboot kwa kushikilia button itawaka tena tu. Na simu zingine hata option ya Power Off kwenye recovery imetolewa. So hamna njia ya kuizima unless aanze kuifungua atoe betri
 
We ulisha tumia au una iphone ? Iphone zote unaweza zima vizuri hata kuwasha/data bila ku unlock. Pia hata nyingine unaweza weka silence kabisa mfano iphone xr ina silent on/off side bar switch.
 
We ulisha tumia au una iphone ? Iphone zote unaweza zima vizuri hata kuwasha/data bila ku unlock. Pia hata nyingine unaweza weka silence kabisa mfano iphone xr ina silent on/off side bar switch.
Bro, I'm literally on your side. Nimemuelezea madhara ya kitu ulichookisema kuhusu ku access hvyo vitu simu ikiwa locked
 
Pamoja na sifa za kuwa na Kiwango kikubwa za ulinzi , simu za iOS naona bado kuna sehemu hawakufikiria zaidi au wameamua kopotezea.

1 . Kuhusu usalama wa simu kwa nini ukiwa ume lock simu bado mtu yeyote anaweza kuwasha/ kuzima data?

2. Ukiwa ume lock pia kwa nini mtu yeyote anaweza zima simu ?

Nilitgemea hizi ishu 2 zingetakiwa mtu a unlock simu kwanza ndio afanikiwe, sasa leo
Yakwanza inawezekana nenda tu kwenye settings udiactivate.
Nenda kwenye settings, then Face ID & passcode, ingiza passcode, shuka chini kwenye allow access when locked, deactivate control centre.

Ya pili Ni bonge la weakness kwa kweli
 
Kwa wale wanaotumia simu ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaganda, wakitoa hiyo option itakuwaje hapo
 
Hoja ya utekaji sioni kama ina maana sana maana kama ni live location si simu itavunjwa vunjwa tu kama haizimi au kupelekwa sehemu tofauti.

Kibiashara watumiaji wengi wa simu ni wa kawaida, hawatekwi ila wanasahau simu, na akishaisahau akiipiga ikipokelewa ataomba izimwe aletewe au aifate, na anayeitunza ataizima tu isiite ite. Hao ndo wateja wengi.

Sema iPhone ni hilo taifa tu linajua kumarket vitu vyake.
 
Back
Top Bottom