mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,093
- 39,614
Wewe umeona wapi kuwa hio ndio ilikuwa sababu ya wao kuweka betri isiotoka? Wakati huo huo unaweza kubonyeza button simu ikazima.
Android ni wazuri kwa kuleta useless features, yale ya maana hawayapi kipaumbele. Masimu ukikaa vibaya tu matangazo hayo yanakujia. Mara paap watu tayari washapata files zako kupitia malwares/trojans/viruses.
kama unataka simu iwe chini ya mamlaka yako, kwanini sasa uruhusu mtu ashike simu yako na kuizima?
hapa bado kabisa, hujanieleza faida ya kuweka password ndio simu izime.
Bado itakuwa useless feature tu.
ndio sababu nikakwambia,feature isipowekwa apple basi ni useless ila ikiwekwa basi huree.
mkuu nimekwambia incase umeibiwa,au nyinyi watuamiji wa apple hakuna mazingira ya kuibiwa simu zenu!!!swala la kumpa mwizi simu aizime ndio unazungumzia???
wote tunajua android kwenye swala la security hawako vyema ukilinganisha na apple,ukumbuke hapa tunazungumzia usalama wa kifaa sio data.