mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,093
- 39,614
Bongo deal ni kifaa data sio ishu sana.Security za simu zipo kulinda data za mtu sio simu kuibiwa ,kimefatilia sana mambo haya unaposikia high security
wao wanazingumzia data zako ila kwa wabongo security wanazunguzia simu ikiibiwa uipate ,ni vitu tofauti sana
ukisema umeweza kuaccess data ya mtu kwenye iphone bila ku unlock ni weakness kubwa lakini najua hilo haliwezekanini