Ha ha ha ha haaaaaaaaaah, nilichokitegemea ndo kimetoka, nilianza kupatwa na wasiwasi niliposikia wanaanza kutoa phablets, mpaka sasa iphone 5, 5s na 5c ndo my best , najua wafia iphone watanipinga lakini ukweli utabaki kuwa Apple Inc wamechemka vibaya kwenye suala la simu mwaka huu, kama wataendelea na mwendo huu wa kuiga nani anafanya nini nami nifanye basi tutashudia Apple phones zikikosa soko tofauti na enzi za Jobs (R.I.P), huyu jamaa alikuwa creative and very innovative
Jaribu kuingia kwenye yahoo uone kama ni maoni yako ya kukosa soko yana-hold water. Hii ndio moja ya habari.
Apple iPhone 6 pre-orders hit record 4 million on first day.
www.yahoo.com/news/apple-receives-record-pre-orders-130255260.html/
Binafsi sijawahi hata ifungua iphone an device zake. Mie mtu wa samsung napenda chezea simu sana, kupata all access.
Jaribu kuingia kwenye yahoo uone kama ni maoni yako ya kukosa soko yana-hold water. Hii ndio moja ya habari.
Apple iPhone 6 pre-orders hit record 4 million on first day.
www.yahoo.com/news/apple-receives-record-pre-orders-130255260.html/
Sinunui saa ya kampuni yeyote ya simu, mi naona kama matoy ya watoto kuchezea.
Kuna executive watches out there, meeen.
Me too,6+ is my choice.
Mimi mmoja wapo,nitanunua tu kwakweli,maana hiyo miplastick ya samsung,aah hata unambieje sikubali.Nilijaribu Galaxy note,week moja tu nilishachoka nikaishia kumrudishia Hubby huku nikiomba samahani asijeona sija appreciate.Akaniletea Iphone 5s kiroho kwatu.ni kweli watumiaji wengi wa iPhone wannunua kwa ajili ya jina, hivyo kwa vyovyote vile watanunua tu hata iweje. Katika siku ya kwanza ya presale walikuwa wanauza iphone 150,000 kwa saa (iphone laki moja na elfu hamsini kwa kila saa moja!!!), na hiyo ni pre-sale, mtu ananunua ili ikitoka ndiyo achukue simu. so far mimi sijapenda tu design hii mpya, HAIJANIPENDEZA MACHONI!
Mahaba niue, mwenzako nilipenda sana bidhaa za motorola enzi zile zinaingia ingia baada mahaba niue kwa blackberry hata ufanyeje hunitoi, sasa nipo huru baada ya BB kuzingua nipo Apple na wao wakileta zao lazima nihame wacha nione mambwembwe yao kwanza............Aaaaaaiiii weye apple mwenzio wameniloga yan sijaipenda 6 but no way nitanunua tho now nina 5S bas wenzangu wananishangaa me only natumia iphone chezea iphone najua utanunua tu ngoja tar 19 iingie mtaan utaona .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi mmoja wapo,nitanunua tu kwakweli,maana hiyo miplastick ya samsung,aah hata unambieje sikubali.Nilijaribu Galaxy note,week moja tu nilishachoka nikaishia kumrudishia Hubby huku nikiomba samahani asijeona sija appreciate.Akaniletea Iphone 5s kiroho kwatu.
Ha Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, we upo kama mimi, mi gadgets za saa hata ukinipa bure nitaiuza tu au nami nigawe bure
usijifungie sana, unatakiwa ujaribu vitu tofautitofauti.
uko sahihi, ni kweli huwezi kuvaa smartwatch halafu umepiga suti uko kwenye event, smartwatch kwangu mimi naona iko handy wakati say uko mazoezini inakusaidia na apps za fitness na pia inakupoa notification za kwenye simu bila kulazimika kuchomoa simu, kama uko safari au sehem nyingine casual, inakupa notification za muhimu bila kulazimika kutoa simu, kuna sehem unakuwa hauko confortable sana kukaa umetumbua macho kwenye simu, unataka iwe out of sight lakini bado unataka kuwa notified kinachoendelea kw
enye simu.
hakuna substitute ya smartwach!...jaribu mambo mapya wewe, mwenyewe sijawahi nunua lakini motorola wamenivutia nitainunua.Nyie wenye hela za mchezo nunueni. Ila mimi bado sana. Uzuri kuna substitute kibao.
Ha ha ha , nilishaagiza Hong Kong,ni siku hiyo hiyo ya tarehe 19,nitapata yangu.Niko addicted na Iphone nilianza na series ya 4 mpaka leo bila kusahau Ipad lol!hahaha, agiza mapema mkuu, zinauzika kama njugu, ukisubiri mpaka zije bongo utasubiri miezi miwili mkuu!
Ha ha ha , nilishaagiza Hong Kong,ni siku hiyo hiyo ya tarehe 19,nitapata yangu.Niko addicted na Iphone nilianza na series ya 4 mpaka leo bila kusahau Ipad lol!
Tulitaka iwe kama iPhone.
hakuna substitute ya smartwach!...jaribu mambo mapya wewe, mwenyewe sijawahi nunua lakini motorola wamenivutia nitainunua.
Ukinunua nitakuja kuiona
safi sana mkuu, karibu kwenye chama japo sisi wengine wametukosea mwaka huu, mimi nilianza kutumia iPhone (ilikuwa ikiitwa hivyo tu, baada ya kutoka 3g ile ikabatizwa the origak iphone), 3G, 3GS, 4, 4S, 5, 5S, 6 ndiyo wamenikosa nitabaki kwenye 5s kwanza. Kwenye computer ndiyo kabsaa mpaka katoto kangu kenye miaka minne kanatumia mac mpaka utashangaa, windows laptop nnayo moja tu kwa sababu ya kazi fulaniflani. btw, user name yako huwa inanikumbusha a.k.a ta bibi yangu nikiisoma lazima nicheke!