wewe ndio Limbukeni na hilo lisumsang lako
Mimi kwenye bidhaa za Apple hunitoi labda kampuni ife lakini hilo lakusema curve yake inafanana na iphone 3s ni uongo mtupu labda macho yakohahahhaa, naona hata kusoma post za huko juu haujasoma unajichomeka kichwakichwa tu! nimesema sijawahi kumiliki smartphone tofauti na iPhone, iPhone ZOTE nimeshazitumia nazijua A-Z, lakini kwa hii iPhone 6 wamenikosa, nitabaki na 5s yangu na kama nikitaka kununua simu nyingine basi sita-upgrade iPhone kama ilivyo kawaida yangu,nitanunua Samsung Note Edge, hiyo ndiyo naona imeshinda mwaka huu, natoa pesa yangu CASH mfukoni nanunua MPYA kwa hiyo nina maamuzi ya kuangalia kitu gani ni kizuri kwa wakati husika bila kujali naipenda sana kampuni gani. haya wewe sasa hebu ongea kama mtu mzima sasa tofauti na ulimbukeni wa simu ya kike simu ya kiume! Kama ni ushabiki nilitakiwa niwe nao mimi, nimeanza kutumia products za apple since i dont know when, vifaa vyangu vya electronis karibia vyote ni product za Apple Inc, lakini bado akili yangu iko huru sina upofu, wanapoharibu nasema wameharibu, siyo kila kitu unasifia kama mwanamke asiyejitambua!
Mimi kwenye bidhaa za Apple hunitoi labda kampuni ife lakini hilo lakusema curve yake inafanana na iphone 3s ni uongo mtupu labda macho yako
Hivi hao viumbe kwani na wenyewe wanakusumbua kuhusu haya mashokolo mageni ya huku duniani?
Yaani kama mtu anakula vizuri na anavaa na anaenda chooni bila shida na nyenzo ingine ya mawasiliano anayo,, walaaaaaaaa hata hasumbui akili aisee. Anataka ajinunulie.
Hataki HEWALAAAA....
Limbukeni ni wewe unaeponda kazi za watuhayo ndiyo mawazo ya kilimbukeni sasa!
hahahhaa, naona hata kusoma post za huko juu haujasoma unajichomeka kichwakichwa tu! nimesema sijawahi kumiliki smartphone tofauti na iPhone, iPhone ZOTE nimeshazitumia nazijua A-Z, lakini kwa hii iPhone 6 wamenikosa, nitabaki na 5s yangu na kama nikitaka kununua simu nyingine basi sita-upgrade iPhone kama ilivyo kawaida yangu,nitanunua Samsung Note Edge, hiyo ndiyo naona imeshinda mwaka huu, natoa pesa yangu CASH mfukoni nanunua MPYA kwa hiyo nina maamuzi ya kuangalia kitu gani ni kizuri kwa wakati husika bila kujali naipenda sana kampuni gani. haya wewe sasa hebu ongea kama mtu mzima sasa tofauti na ulimbukeni wa simu ya kike simu ya kiume! Kama ni ushabiki nilitakiwa niwe nao mimi, nimeanza kutumia products za apple since i dont know when, vifaa vyangu vya electronis karibia vyote ni product za Apple Inc, lakini bado akili yangu iko huru sina upofu, wanapoharibu nasema wameharibu, siyo kila kitu unasifia kama mwanamke asiyejitambua!
wewe ndio Limbukeni na hilo lisumsang lako
Limbukeni ni wewe unaeponda kazi za watu
Aaaaaaiiii weye apple mwenzio wameniloga yan sijaipenda 6 but no way nitanunua tho now nina 5S bas wenzangu wananishangaa me only natumia iphone chezea iphone najua utanunua tu ngoja tar 19 iingie mtaan utaona .
Sent from my iPhone using JamiiForums
umenena vyema mkuu, safari hii wamechemka design kabsaa, na huko nyuma kamera umeprotrude kama makalio ya bata..aaargh! hakyanani Jobs akifufuka ataikataa hiyo simu atajua ni clone la kichina.
Camera hyo hyo inatosha haina shida ila wameongezea vtu flan kwenye camera hyo kutoa quality pic hapna chezea apple lakin ile ndogo yake nzur ila ile kubwa kdogo sijui plus itanifaa coz nitaweka kwenye mkoba haina shida kwangu labda kweny guys ndio majanga itabid mnunue ile ndogo ake.ila apple watch naisubir kww ham sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
kwenye saa napo hawajanifurahisha design, linafanana tu na la samsung na lg!! apple zamani walikuwa wabunifu bana wakitoa kitu kinakuwa unique, sasa hilo saa la square kusema kweli mimi linanitia ukakasi kuvaa mkononi nitaonekana kama kijana wa kihuni flani hivi!...katika saa za ukweli kabisa ambazo ukiiangalia tu unatoa pesa bila kuomba discount ni Moto360 kutoka motorola, kama wazo langu la kununua Note Edge nitaamua kulitekeleza basi nitanunua hii:
View attachment 185411
View attachment 185413
View attachment 185415
Hii saa hii dada Jestkilla ndiyo ilitakiwa iwe saa ya Apple sasa, its simply stunning, simple, genius! Ni saa ambayo ukiivaa inabaki kuwa saa, siyo boksi ambalo ukilivaa kila mtu anang'amua ni kitu gani, ni kama umefunga lisimu mkononi. Sijui Motorola wamewezaje hii kitu, kila nikiiangalia roho inaniuma sana kuona siyo bidhaa ya Apple, kila mtu ameipenda hii saa na imekuwa sold out ndani ya siku moja ilivyoingizwa sokoni, nadhani batch nyingine imetoka leo kama sikosei. Kila nikiiona pesa mfukoni inafurukuta kutoka, natamani hata niinunue japo sina simu ya android! Kwenye smartwatch Motorola wamechukua ushindi mwaka huu, hands down!
hizo saa za kuchaji kwa siku mara 2 mimi siziwezi.
pebble japo ni kampun ndogo ila kwangu ndio naona atleast wanaelekea muelekeo mzuri
chaji kweli ni tatizo, review nyingi zinasema light usage inaweza kukupa up to 15hrs, heavy usage inakupa about 10 hrs, mi naona si tatizo sana kwa sababu ndiyo saa yao ya kwanza, obviously watarekebisha hilo katika toleo lijalo, kikubwa wameshainasa design inayoapeal kwa watu, wamemali za kazi, hizo saa pamoja na tatizo lake upande wa charge zimenunuliwa kama njugu, hakuna smartwatch iliyowahi kuuza hivo ndani ya muda mfupi!
chaji kweli ni tatizo, review nyingi zinasema light usage inaweza kukupa up to 15hrs, heavy usage inakupa about 10 hrs, mi naona si tatizo sana kwa sababu ndiyo saa yao ya kwanza, obviously watarekebisha hilo katika toleo lijalo, kikubwa wameshainasa design inayoapeal kwa watu, wamemali za kazi, hizo saa pamoja na tatizo lake upande wa charge zimenunuliwa kama njugu, hakuna smartwatch iliyowahi kuuza hivo ndani ya muda mfupi!
solution ya battery kwenye simu ni kutengeneza simu kubwa. kwa technology ya sasa hawawez kuboresha battery kwenye display na os kama hio. labda waanze kutoa gear note saa kubwa. na kwa style hio gym zitafilisika mwaka huu, ukiyapata mawili kila mkono
Sinunui saa ya kampuni yeyote ya simu, mi naona kama matoy ya watoto kuchezea.
Kuna executive watches out there, meeen.
Wakuu kunaukweli wowote juu ya hizi picha na maelezo?