Apple sold 4 million iPhone 6 and 6 Plus in first day

Apple sold 4 million iPhone 6 and 6 Plus in first day

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Apple sold 4 million iPhone 6 and 6 Plus in first day

Apparently, a lot of people want the iPhone 6.

Apple sold a record 4 million iPhone 6 and iPhone 6 Plus smartphones on Friday, the first day that the new iGadgets were available for pre-order, the company said Monday.

Demand for the new iPhones was so high that the iPhone 6 Plus sold out within hours. While many people who pre-ordered the iPhone 6 will get them this Friday, many others won't get their iPhones delivered until next month.

"Demand for the new iPhones exceeds the initial pre-order supply," Apple said in a statement. The company noted that an additional supply of iPhone 6 and iPhone 6 Plus smartphones will be made available to walk-in customers on Friday Sept. 19, beginning at 8:00 a.m. local time at Apple stores. People have already begun camping outside Apple Stores around the world to be among the first to get their hands on one of the new iPhones.

Source: Cnn.com
 
Kunaukweli wowote hapo wakuu
 
Attachments

  • 1410809744324.jpg
    1410809744324.jpg
    33.9 KB · Views: 814
  • 1410809759356.jpg
    1410809759356.jpg
    58.2 KB · Views: 818
  • 1410809794236.jpg
    1410809794236.jpg
    74.7 KB · Views: 769
Huu uwongo tu wa kibiashara Apple wanajaribu kuwa brainwash iFan royals...

ni ukweli sio uwongo. huwa apple mwezi huu hadi mwisho wa mwaka anafanya vizuri sana sababu ya sikukuu na watu kununua simu kwa mikataba.

kwa wenzetu sababu wananunua kwa mikataba basi siku mkataba ukiisha ndio anabadili simu. na inakua ni mkataba wa miaka miwili.

iphone kikawaida inatoka mwezi wa 9 ina maana walionunua iphone 5 mwaka 2012 sasa hv mikataba yao inaisha sababu nayo ilitoka mwezi wa 9, so now wana upgrade kwenda iphone 6.
 
Samsung iko juu iphone ipo juu kwa bei naifananisha na blackberry
 
Huu uwongo tu wa kibiashara Apple wanajaribu kuwa brainwash iFan royals...

Vipi mkuu umeshanunua Note Edge? iPhone mwaka huu wameniangusha, lakin kuuza wameuza na wanaendelea kuuza, na bado utaona foleni zitavokuwa ndefu madukani! Hawa jamaa bana walmewekewa msingi mzuri sana na marehem Jobs, wanauza mpaka wanaumwa.

Zigo hili hapa baba, kila pipa linapakia iPhone 250000 (laki mbili na elfu hamsini) kutoka kulee kwa wale jamaa zetu wenye macho madogo kuelekea kwa jaluo na kwingineko.
dfluryly7knhnxj3tmhp.jpg
 
Chezea apple wewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wamarekani wamerogwa na brand yao. Kuwa mnazi wa iphone yataka moyo. Kila mwaka uwe na budget ya 1M ya kununua simu.

hahaaa, je ukiwa mnazi wa samsung? wao hawana ratiba wakufulia tu wanatoa simu mpya, utatoboka mifuko! halafu wenzetu kampuni zao za simu wana plans nzuri sana, wanasubsidize simu wananunua zaidi ya nusu ya bei, huku sisi airtel wanaimba tu "kwa kushirikiana na kampuni ya Apple"...wamenunua simu kienyeji halafu wanaresale kwa faida halafu wanatumia jina la wenzao kinyemela...pumbavu!
 
Kama benki imeweza kutoa mikopo kwa wafanyakazi, kwanini haya makampuni yasitoe mikopo ya simu mtu ukawa unalipa kwa insallment??
 
Kama benki imeweza kutoa mikopo kwa wafanyakazi, kwanini haya makampuni yasitoe mikopo ya simu mtu ukawa unalipa kwa insallment??

naskia crdb na voda wanatoa samsung , sijawahi kufuatilia lakini. wenzetu kampuni zao za simu wanasubsidize, iphone 6plus 32gb wanauziwa $259 kama skosei, anakuwa na mkataba wa kutumia mtandao huo tu kwa kulipia bundle ya kiwango fulani cha sauti na data kila mwezi, ikiisha miaka miwili anaruhusiwa ku-unlock, kampuni zingine ikitoka simu mpya unaruhusiwa kwenda kubadlisha na kulipa tofauti kidogo.
 
Back
Top Bottom