siwezi tumia simu isiyo support whatsapp/instagramItafika time izo simu zitakuwa outdate na hazipokea matoleo mapya ya OS ivo itakubidi tu uhame mkuu mana imagine saivi Apps kama whatspp au Instagram haiko supported kwa simu zenye android below 4.0. Sasa hawa wenye simu zenye hio android unafikiri bado wataendelea kungangania izo device ile hali grand apps tu hazisupport.
na ukitaka kufurahia hizi simu usiwe na papara,leo hii iphone x mpaka mil 1 inapatikana,ukisubiri mpaka 2020 mwishoni,itakuwa inacheza kwenye 700k mpka 600k.maana kuna simu kubwa 4 zitakuwa ni mpya kwa wakati huo.siwezi tumia simu isiyo support whatsapp/instagram
ukifika huo wakati namimi nita ji update ila kamwe hutoniskia
eti nimerukia iphone x sjui s11 never never never
Tuko pamoja mkuu User interface (icons +system setting etc) havijawahi nivutia kabisa.Sijawahi vutiwa na iPhone sijui ndio ushamba wangu.
Apple wao wafike hata iphone 34 ila ushamba wangu nimeamua
kubaki na 6s na s6 edge plus yangu,yani samsung wafike hata wapi
sinunui simu zaidi ya s6 edge plus,iphone hata wafike wapi sinunui zaidi ya 6s
Hata mimi mkuuSijawahi vutiwa na iPhone sijui ndio ushamba wangu.
Acha hizo mkuu, wengine hatuna interest na iphone hapa mimi natumia S9 plus, sasa calculate hiyo bei uone kama haitoshi kununua iphone.Sema huna pesa
Kwamba labda simu igome kupiga[emoji2] [emoji2] [emoji2]wakifungia updates kama bado ntapata whatsapp Google ntaingia bado ntabaki na 6s
updates mimi hata nina muda nazo sasa labda simu igome kupiga ndo ntaona zina umuhimu.
Sijawahi vutiwa na iPhone sijui ndio ushamba wangu.
Tuko pamoja napenda sana customization vitu visivyopatikana huko iosTuko pamoja mkuu User interface (icons +system setting etc) havijawahi nivutia kabisa.
Sijawahi vutiwa na iPhone sijui ndio ushamba wangu.
Mkuu kwani mkeo hakujui vizuri? Huyo ni mke wako, anajua huna pesa😂Unanijua sana, ama?
Hawa apple huwa wanakurupuka kama bother K
umepatiaHuna hela
Mimi ngoja niendelee kupambana na tecno yangu kwanza Yesu karibia arudi kulichukua kanisa [emoji125][emoji125][emoji125]
Ukishakuwa gamer wa pc hasa kwenye mambo ya "oceanofgames" huwezi vutiwa na iphone.Sijawahi vutiwa na iPhone sijui ndio ushamba wangu.
Acha tu ziwe za alinacha as long as my believing haikupunguzii chochote .. Leave it alone.Ndoto za alinacha hizo, Yesu arudi kutoka wapi??, Yeye alijifia zake huko Kashmiri zamani sana.
Angalia documentary ya BBC on; Rozabal shrine.