Na mkuu super amoled ni brand ya Samsung, Apple hata akitumia same display toka Manufacture mwengine kama Lg haruhusiwi kuiita Super Amoled Ataiita Tu Oled.
Zikianza teardown za kina Ifixit tutajua kila kitu.
Yaani mshkaji wangu kajichanga kanunua iphone 6 hawa mabwana kumbe washafika 12?
Utopolo😝 😝 Ukakuta nini?
Cheki hii 😂😂😂sasa ukiwa na iphone 12 utajulikana
Ujinga wako ndio utakufanya usijenge kisa simuHawa majamaa hawataki tujenge c et
Mnanunua simu ili mjulikane. Ila ni free world nakupongeza kuwa na ndoto hiiLazima niinunue hii kitu, maana wamerudi kwenye muundo ninaoupenda, sasa ukiwa na iphone 12 utajulikana siyo kama version zingine zinafanana na samsung, hakika nimefurahi sana tena sana kama ule ushindi wa Dkt Magufuli utakavyokuwa hapo 28.10.2020
Toleo la nyuma lipi mkuu? Maana 11 pro na 11 pro max pia zina oled retina.
Kilichobadilika mwaka huu ni mpaka regular 12 ina oled, 11 na Xr hazikuwa na Oled.
Yani katika discussion ninazofeli Basi ni discussion ya cm. Anyway Nina laki 2 na nusu nataka simu nzuri with good quality camera na storage kubwa. Nishaurini kesho niifate
mtz one
Tafuta Xtigi 45sYani katika discussion ninazofeli Basi ni discussion ya cm. Anyway Nina laki 2 na nusu nataka simu nzuri with good quality camera na storage kubwa. Nishaurini kesho niifate
mtz one
Bei za kawaida ..5G is coming with iphone 12.
Ceramic shield dispaly that goes beyond glass.
A14 bionic processor.
Camera: 12 mp.
View attachment 1599078View attachment 1599079View attachment 1599082
View attachment 1599109
Mimi nadunda na infinix hot 8 lite karibia mwaka Sasa. Nilinunua kwa 220,000 Mbeya.Yani katika discussion ninazofeli Basi ni discussion ya cm. Anyway Nina laki 2 na nusu nataka simu nzuri with good quality camera na storage kubwa. Nishaurini kesho niifate
mtz one