Apple Iphone 12 is finally here

Hahaha! Yaani waweza msema mtu na asijue kama anasemwa
@Schwarzenegger.
 
.

mbaya zaidi nina uhakika hawaitumii simu ipasavyo kama ambavyo mimi ningeivuruga vuruga to the max.mpaka ichemke
 
.

mbaya zaidi nina uhakika hawaitumii simu ipasavyo kama ambavyo mimi ningeivuruga vuruga to the max.mpaka ichemke

Hahaha! Sasa huo muda wa kuvuruga simu mpaka ichemke unatoka wapi?? Ama kazi yako inakuwa ni kucheza na simu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…