Apple Iphone 12 is finally here

Mwanadamu hata umpe nini haridhiki. Humu ndani taona experts wa Simu toka United Republic of Tanzania wanavyoikosoa Technology ya Apple

Halafu kwenye akaunti hana hata laki
 
Wakuu mi na iPhone 11 ina tatizo la kutokuwepo na mnara wa internet na sipati nternert naombeni msaada tafadhali.

Ila siku Iko fresh kabisa

Mmmh hiyo sio iPhone 11 ebu tume serial number zake kwa DM nenda pale kwenye settings>general>about
 
Asante mkuu.
Dah! Hiyo iPhone ya macho matatu hiyo utafikiri Schwarzenegger kwenye muvi ya Commando parefu sana hapo kwa sisi watu wa kawaida aisee. Mnaozimiliki kwa kweli mnastahili hongera nyingi mkuu. Yaani hiyo moja tu naweza kununua TECNO hata 10 nikagawia ukoo wetu mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…