😝 😝 Ukakuta nini?Nikajua uchambuzi bwana...
IPhone bhana, nacheka tu.
Kwanza. Iphone za wadada vidume Ngoja tuendelee kutumia TECNO
Retina ni brand yao tu kama ilivyo super Amoled brand ya Samsung, wanaweza tumia same technology na bado wakaita retina.Yaani iPhone anakuja na Super Retina display kwa premium model?
Nini kimewafanya waache super amoled display?
CC Chief-Mkwawa
Retina ni brand yao tu kama ilivyo super Amoled brand ya Samsung, wanaweza tumia same technology na bado wakaita retina.
Kwanini toleo la nyuma waliita retina then wakaja amoled kisha kurudi retina? Kwanini simu zote wanapoita amoled huwa na muonekano karibu sawa? Mbona hata resolution yake ni ndogo kulinganisha na mwaka Jana walipoita amoled?
Toleo la nyuma lipi mkuu? Maana 11 pro na 11 pro max pia zina oled retina.Kwanini toleo la nyuma waliita retina then wakaja amoled kisha kurudi retina? Kwanini simu zote wanapoita amoled huwa na muonekano karibu sawa? Mbona hata resolution yake ni ndogo kulinganisha na mwaka Jana walipoita amoled?
Na mkuu super amoled ni brand ya Samsung, Apple hata akitumia same display toka Manufacture mwengine kama Lg haruhusiwi kuiita Super Amoled Ataiita Tu Oled.Kwanini toleo la nyuma waliita retina then wakaja amoled kisha kurudi retina? Kwanini simu zote wanapoita amoled huwa na muonekano karibu sawa? Mbona hata resolution yake ni ndogo kulinganisha na mwaka Jana walipoita amoled?