Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,262
- 44,391
amedesign Apple hio soc, lakini still haiprove kwamba memory amedesign apple, hawana ujuzi huo wa kudesign hizo memory. haya mambo sio ya mchezo mchezo ukafkiri kila kampuni inaweza fanya kitu fulani.Nani ame - design Ax series of SoCs au nani ame-design zephyr na Hurricane core architecture? halafu mwaka jana Apple katumia 10.3bn$ na samsung katumia 13bn$, hivyo siyo vijisenti ila tu ni kwamba apple gets more bucks for its R&D.
The issue here is not, spending but innovation (not counting washing machines and things like blenders and cookers).
Use of mouse and graphic interface, iPod.na usimtetee apple kwamba anspend vichache na ku innovate sana, unaweza nitajia vitu alivyo innovate?
amedesign Apple hio soc, lakini still haiprove kwamba memory amedesign apple, hawana ujuzi huo wa kudesign hizo memory. haya mambo sio ya mchezo mchezo ukafkiri kila kampuni inaweza fanya kitu fulani.
hawa jamaa ni hela tu kwenda mbele ndio wanachojali na kuwaridhisha wawekezaji wao ila contribution yao kwenye technology ni ndogo sana.
Mkuu mouse kaivumbua Douglas C. Engelbart.Use of mouse and graphic interface, iPod.
Put MS-DOS and Walkman where they at now .... in the past. Now that is innovative ain't it.
Nimekuuliza swali rahisi tu mkuu, nani ame - design?
Ndogo but remarkable.
si nilishakujibu huko juu samsung amedesign na kufanya manufacturing ya hizo memory?Use of mouse and graphic interface, iPod.
Put MS-DOS and Walkman where they at now .... in the past. Now that is innovative ain't it.
Nimekuuliza swali rahisi tu mkuu, nani ame - design?
Ndogo but remarkable.
Mkuu mouse kaivumbua Douglas C. Engelbart.
Na UI watu wa kwanza kutengeneza hii kitu ni XEROX PARC na ilitumika kwenye Alto personal computer ikiwa na bitmap UI na mouse ya bwana Douglas C. Engelbart.
si nilishakujibu huko juu samsung amedesign na kufanya manufacturing ya hizo memory?
mkuu baada ya dos ndio zikaja windows, sijaona os yoyote ya apple kumpita windows unamcredit vipi Apple? sijaelewa hapo.
Na walkman labda huko kwao us ila ki dunia hakuna effect yoyote ya ipod, toka enzi za mwalimu na naanza kutumia simu mwanzoni mwa miaka ya 2000 simu zetu za symbian zilikuwa more advanced than ipod zinaplay miziki, tunadownload miziki, tunacheza games, tunafanya video call na mambo kedekede ambayo ipod ilikuwa haifanyi. niliona tu wauza sura mtaani ndio wana hizo ipod. unaweza nambia kitu ipod inafanya simu ya symbian haikufanya?
hivyo vyengine umejibiwa hapo juu.
Hayo XEROX PARC ndiyo kama walikuja set standard ya UI za desktop hence personal computers.There's invention and Innovation. ... Check this out.
Samsung haja - design Zephyr+ Hurricane architecture ya A10. Hii imekuwa designed na Apple.
Exynos8895 kwa mfano inatumia cores za ARMCortex-A57 nne (Produced and designed by ARM Holdings/SoftBank) na ina M2 nne (from Samsung) kwa hiyo siyo completely from samsung either. Ila cores za A10 zote zimekuwa designed na Apple. Pia Samsung hutmia Snapdragon chips (Qualcom kampuni ya US). Kwa hiyo unapozungumzia u - giant wa designing ya memory ninakuwa sielewi vizuri.
Kuhusu GUI Mcintosh ndiyo wa kwanza kabla ya Windows.
mkuu hebu kaa chini utulie,There's invention and Innovation. ... Check this out.
Samsung haja - design Zephyr+ Hurricane architecture ya A10. Hii imekuwa designed na Apple.
Exynos8895 kwa mfano inatumia cores za ARMCortex-A57 nne (Produced and designed by ARM Holdings/SoftBank) na ina M2 nne (from Samsung) kwa hiyo siyo completely from samsung either. Ila cores za A10 zote zimekuwa designed na Apple. Pia Samsung hutmia Snapdragon chips (Qualcom kampuni ya US). Kwa hiyo unapozungumzia u - giant wa designing ya memory ninakuwa sielewi vizuri.
Kuhusu GUI Mcintosh ndiyo wa kwanza kabla ya Windows.
Nilichojifunza kwenye uzi huu ni kwamba, pamoja na kwamba wenzetu kwenye end product ambayo ni simu ni wapinzani wa kibiashara lakini kazi wanapeana na wanazifanya kulingana na mkataba unavyosema. Huwa najiuliza kwa akili zetu za kibongo haya mambo yangekuwa yanatendeka hapa lazima kampuni zingekuwa zinalishwa matango pori kila siku ili mwenzake atoke sokoni.
Mkuu ni watu walewale.Hayo XEROX PARC ndiyo kama walikuja set standard ya UI za desktop hence personal computers.
Hao macntosh na windows wamechukua idea yao wakaboresha.
Unless unahama topic formerly ulitaka pnyesha apple kama ndiyo walibuni UI.
Siyo kweli mkuu hawakuhamia apple na mwaka 1979 steve jobs na ma engineer wengine wa apple walitembelea Xerox Parc inadaiwa ndipo waliona mouse na UI kwenye maabara yao wakaiba idea bila idhini yao wakaitumia kwenye Lisa.Mkuu ni watu walewale.
Walikuwa Lab Palo Alto Research Center, CA iliyonunuliwa na Xerox. Ila hawakuweza kutengeneza commercially used UI. Wakahamia Apple wakatengeneza commercially used UI. Thats why credit nyingi anapewa Apple.
Naona Samsung walitoa 14nm na TSMC walitoa 16nm apple walisema 14nm zilikuwa zinakula moto kiasi kuliko 16nm,Sasa nashangaa ilibidi 16nm ndio zile moto zaidi, yaliotokea kwenye A9 yamefanya Apple wawe na TSMC zaidi japo yield rate it can be a fact too.mkuu kuna kitu kinaitwa yield rate na manufacturing process,
kila kampuni inapoingia manufacturing process mpya lazma yield rate nayo ibadilike.
yield rate ni kile kiasi kizima kinachobaki, mfano cpu 100 zimetengenezwa then 60 ndio nzima na 40 zimeharibika inamaana yield rate hapo ni 60%
mfano mzuri muangalie intel, generation ya tatu sasa hivi amenasa kwenye 14nm kuanzia broadwell, skylake, kabylake na tetesi cofee lake inayokuja pia itakuwa 14nm, hii ni sababu yield rate yake ya 10nm ni ndogo sanaaa.
Apple aliwapa TSMC na Samsung kwa pamoja sababu kipindi kile yield rate ni ndogo sana ndo 16nm na 14nm zilikuwa zinaingia hivyo ni almost impossible kwa mmoja kutengeneza order zote.
hata mwaka huu mwanzoni kama utakumbuka snapdragon 835 inayotumia 10nm ilikuwa na uhaba sana, samsung alichukua order zote na kina LG na LG G6 ikabidi watumie cpu za mwaka jana za 14nm. mpaka kwenye mwezi wa 6 ndio simu kama oneplus one, Nokia 8, mi 6 etc zikaanza kutoka na sd835.
hivyo hapa itategemea na yield rate ikiwa kubwa baso ujue atapewa tenda mmoja tu ikiwa ndogo wanapewa wote.
Mkuu inasemekana Exynos 8895 modem yake haisupport CDMA ambapo bado US na Canada wanatumia.Snapdragon 835 modem yake inasupport CDMA thats why Samsung za Us na Canada zinatumia Sd.There's invention and Innovation. ... Check this out.
Samsung haja - design Zephyr+ Hurricane architecture ya A10. Hii imekuwa designed na Apple.
Exynos8895 kwa mfano inatumia cores za ARMCortex-A57 nne (Produced and designed by ARM Holdings/SoftBank) na ina M2 nne (from Samsung) kwa hiyo siyo completely from samsung either. Ila cores za A10 zote zimekuwa designed na Apple. Pia Samsung hutmia Snapdragon chips (Qualcom kampuni ya US). Kwa hiyo unapozungumzia u - giant wa designing ya memory ninakuwa sielewi vizuri.
Kuhusu GUI Mcintosh ndiyo wa kwanza kabla ya Windows.
Sawa...Mkuu inasemekana Exynos 8895 modem yake haisupport CDMA ambapo bado US na Canada wanatumia.Snapdragon 835 modem yake inasupport CDMA thats why Samsung za Us na Canada zinatumia Sd.
Sidhani kwani OLED za iphone 8 nani ame design?Sawa...
Ila kwa maoni yangu, Apple kambwaga Samsung kwenye designing.
mkuu ipod mwaka 2001 ilikuwa na 5gb na hiyo nokia 9210 ilikuwa na 18mb sasa sijui mkuu ulikuwa unaweka nyimbo na video ngapi.si nilishakujibu huko juu samsung amedesign na kufanya manufacturing ya hizo memory?
mkuu baada ya dos ndio zikaja windows, sijaona os yoyote ya apple kumpita windows unamcredit vipi Apple? sijaelewa hapo.
Na walkman labda huko kwao us ila ki dunia hakuna effect yoyote ya ipod, toka enzi za mwalimu na naanza kutumia simu mwanzoni mwa miaka ya 2000 simu zetu za symbian zilikuwa more advanced than ipod zinaplay miziki, tunadownload miziki, tunacheza games, tunafanya video call na mambo kedekede ambayo ipod ilikuwa haifanyi. niliona tu wauza sura mtaani ndio wana hizo ipod. unaweza nambia kitu ipod inafanya simu ya symbian haikufanya?
hivyo vyengine umejibiwa hapo juu.
sd card? tena simu za zamani zilikuwa sijui zinaitwa multimedia card vile yalikuwa makubwa balaa. multimedia card kubwa kwa sasa ni GB 512 na kipindi chake zinakuwa anounced zilikuwepo hadi 8GB.mkuu ipod mwaka 2001 ilikuwa na 5gb na hiyo nokia 9210 ilikuwa na 18mb sasa sijui mkuu ulikuwa unaweka nyimbo na video ngapi.
Sawa...
Ila kwa maoni yangu, Apple kambwaga Samsung kwenye designing.
mkuu kuna mambo mengi zaidi ya kusema 14nm 16nm etcNaona Samsung walitoa 14nm na TSMC walitoa 16nm apple walisema 14nm zilikuwa zinakula moto kiasi kuliko 16nm,Sasa nashangaa ilibidi 16nm ndio zile moto zaidi, yaliotokea kwenye A9 yamefanya Apple wawe na TSMC zaidi japo yield rate it can be a fact too.