May GOD rest your Soul in Internal Peace Steve Jobs
Mungu Ailaze Roho ya marhuum Steve Jobs Mahala pema Peponi..
Steve nilikuwa namwadmire kwa kujua kile alichokuwa akikifanya alianzisha apple hali ya hewa oficini ikachafuka akaamua isiwe shida akajimuzuzisha na baadae aliporudi 1998 weee tunda la apple linafanya kweli.
Alikuwa anajishughulisha na nini? Au ndiyo yule waziri wa ulinzi wa Canada?