App Yamtoa Dogo na Kuwa Milionea

App Yamtoa Dogo na Kuwa Milionea


Nitajibu kwa ufupi tu, yale yanayohitaji kujibiwa:
1. Tafadhali nenda kwenye official Windows 8 Website hutalikuta jina la Metro Sababu ni hii; ninanukuu Tech Crunch

<< So here is the official guidance from Microsoft according to a company spokesperson: when you are referring to the user interface, it’s the “new Windows user interface (UI)” or just “Windows user interface.” When talking about apps, it’s “Windows apps” or “Windows 8 apps.” >>

Chanzo:
​
Clearing Up The Confusion: It’s “The New Windows 8 UI” – Not “Metro UI” | TechCrunch

​
Ndio maana huwezi kulikuta neno hili kwenye official Web ya Microsoft likitumika, lakini unaweza kulikuta likiendelea kutumika vichochoroni. Waliacha kutumia jina hilo (officially) kwa sababu hii:

<< The term "Metro" is officially verboten as the name for Microsoft's Windows 8 interface. The question is: why?
The folks in Redmond recently revealed that the term is off limits, at first claiming it was just a code name but then apparently fessing up that the dumping of Metro was due to legal reasons. >>


Chanzo: Why did Microsoft kill the name 'Metro'? | Microsoft - CNET News

Nadhani inatosha, niwie radhi kwa sources za kubabaisha kama vile CNet na Tech Crunch, lakini habari ni za uhakika.

Kuhusu influence ya style baina ya BBC iPlayer Windows, I have no comment kwa sababu sioni sababu ya kufanya hivyo.

Kuhusu hili ninanukukuu "hayo maoni yako mkuu lakini ujue metro haipo kwenye os tu ipo hadi kwenye apps za windows 8 na windows phone 8 so apps 130,000+ za wp na apps 50,000 za windows rt na 8 ushazitest zote zikawa inferior kwa dogo?"

Nimezungumzia Windows User Interface implementation kulinganisha na Summly (zote mbili nimejaribu) hivyo sikuzungumzia implementation ya apps za Windows 8. Na kuhusu swali inaitwaje jibu kwa mujibu wa Windows wenyewe Windows UI (au tuseme haina jina) kwa sababu WIndows UI ni maelezo tu ya nini hasa unachozungumzia. Na UI si lazima iwe na jina anyway.

fanya hivi mkuu andika

site:microsoft.com metro

then yagoogle hayo maneno itakuonesha mara ngap yapo kwenye site ya microsoft mi harakaharaka nimeona mamia ya result
 
fanya hivi mkuu andika

site:microsoft.com metro

then yagoogle hayo maneno itakuonesha mara ngap yapo kwenye site ya microsoft mi harakaharaka nimeona mamia ya result

Nimefanya kama ulivyosema, kish anikapitia matokeo 10 ya mwanzo:
na matokeo yake ni kwamba hakuna hata moja kati ya results zilizokuja zinazoainisha kuwa Metro ni Jina la Windows 8 User Interface, na hii ndio ilikuwa hoja yangu, so you didn't do yourself any favour here. Windows 8 User Inteface is no longer called Metro (officially)

Weka msititizo kwenye maneno "no longer"
 

Nimefanya kama ulivyosema, kish anikapitia matokeo 10 ya mwanzo:
na matokeo yake ni kwamba hakuna hata moja kati ya results zilizokuja zinazoainisha kuwa Metro ni Jina la Windows 8 User Interface, na hii ndio ilikuwa hoja yangu, so you didn't do yourself any favour here. Windows 8 User Inteface is no longer called Metro (officially)

Weka msititizo kwenye maneno "no longer"

mkuu sasa metro si codename?

Lumia 920 kabla haijatoka iliitwa phi

lumia 820 ikaitwa arrow

nokia wanatengeneza device 2 sasahivi catwalk na eos lakini zote zikitoka zitaitwa lumia something

sjawahi skia codename ya bidhaa ndo ikawa jina hilo hilo.

So na windows 8 pamoja na windows phone language yake wakati inatengenezwa ikawa codenamed metro na mpaka sasa lugha inayotumika kucode ni metro na still microsoft wanalitumia hilo neno
 
Back
Top Bottom