App ya Stotmack ina ukweli?

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Kumekua na maneno mengi sana kuhusu hii App haswa baada ya Zari kudai Mama Dangote aliiweka kwa simu yake ili kusoma sms za Zari.

Wema Sepetu naye kashambuliwa na watu waliotumwa na mwanamke mmoja anayedai aliiweka hii App ya SHOTMACK na akawa anasoma sms za mumewe akiwasiliana na Wema

Nikawa najaribu kujiuliza hivi inawezekana kweli ni install app kwenye simu yangu kisha niingize tu namba yako kisha nipate access ya kuona sms zako?

Nimeenda Play Store kuchungulia nikakuta reviews zinaonyesha app ni scam na wanachaji hela kupata code so sikutaka hata kuidownload

Wataalam hii kitu inawezekana ikawa kweli?

Yaani ni that simple
 
Hakuna kitu kama hiko yaani udownload app kwako uweke no ya mtu upate data zake? Huo ni utapeli.

Ili upate data za mtu ni lazima kuwe na loophole kwake.
 
hakuna ukweli ,ila zipo app ambazo zinauwezo wa kuspy other phone ila nimpaka uinstall kwa simu ya muhusika ,na njia nyingine ni kwa kalilinux ila sijawahi ona njia ya kuwa na namba ya mtu ukaweka kwenye app ukapata sms zake.
 
Naomba kujua app bora kwa ajili ya kudukua kwenye android
 
Nashukuru mungu niliweza kuipotezea na kuisahau kabisa app yaku track simu sms na wasap sms,
Sio nzuri kwa ustawi wa ubongo wako kumdukua mtu
Heart attack iko inakaa inakusubiria apo nje ya nyumba yako
Hutodumu kwenye mausiano na mwanamke yeote mzuri as ukiwa na manzi ako mzuri bas jua anarushiwa kamba nyingi sana uko nyingine anaziruka nyingine pending, lakin wewe ukiona tu sms utajua ni ni mchepukaji then unamuacha kumbe sio
Don try
 
Hakuna kitu kama hiko yaani udownload app kwako uweke no ya mtu upate data zake? Huo ni utapeli.

Ili upate data za mtu ni lazima kuwe na loophole kwake.
Mkuu Chief-Mkwawa hivi izi app uki download uka ruhusu access kwenye sms,call,contact na gallery ni ina maana wana ona kila kitu kwenye ivyo ulivyo ruhusu ? Like wana soma sms na vingine vyote

Na pia uki delete wana baki na izo daa zako zote ?
 
Ndio wanaona,

Mfano whatsapp siku hizi wakituma code wakati wa kujiunga inaingia automatic kwenye app, sababu wamesoma sms zako na kuchukua code automatic.

Kama data zilipelekwa online hata udelete haisaidii, sema most of time wanachukua tu hints na sio midata yote
 
Back
Top Bottom