Cybercurex
Member
- Jan 19, 2023
- 98
- 238
Wataalamu wenzangu wa Flutter, hii hapa tena Mapishi App — jukwaa la kipekee kwa wapenda kupika
App hii inaruhusu wanawake (na wote wanaopenda kupika) kupost vyakula, kushare mbinu, na kujifunza mapishi mbali mbali. Kila recipe inakuja na maelezo ya kina: jinsi ya kuandaa, viambata, muda wa kupika, lishe inayopatikana, na zaidi.
Watumiaji wanaweza kutoa maoni, ku-rate recipes, na kubadilishana mapendekezo ya kuboresha upishi. Hii inafanya jukwaa kuwa interactive na yenye community ya kweli kwa wapishi wa nyumbani, wataalamu, au yeyote anayependa kujifunza kupika.
Video hii inaonsha UI ya app, interaction ya watumiaji, na functionalities za msingi, yote yakiwa yamejumuishwa kwa kutumia dummy data. Hii ni sample part ya app kwa ajili ya demo
Kwa apps zenye UI/UX za kuvutia kama hizi , mimi huwa nazitengeneza kwa bei nafuu . Ikiwa una maoni au ushauri, karibu tujadiliane