Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,483
Kupatana ni moja ya apps ambazo nazipitia sanaa kila siku na imenisaidia kuachana na changamoto ndogo ndogo za kiutapeli, ila kwa sababu ni mzoefu hilo nalimudu.
WARNING: Kua makini na vitu vya wizi hasa simu.
Turudi kwenye mada, hawa jamaa wameshusha update mpya week ya tatu sasa kama sikosei.
Hii ya Sasa haioneshi Tarehe ya tangazo kuwekwa-hii ilikua inasaidia kutopoteza mda kwa matangazo ya zamani.
Haioneshi location kwa mikoa-hii ilikua inasaidia kutopoteza mda kuhangaikia bidhaa iliyopo mkoa ambao ni ngumu kuipata,
Haioneshi recently items-hii ilisaidia kuwahi bidhaa chap, na vitu vingi hata tu namna ya wall yao ilivyo ni complicated,
Version ya mwanzo kulinganisha na hii ile ilikua imejitosheleza sanaa, bora warudishe ile au wafanyie kazi maboresho kama hayo.
Au kama ni mimi peke yangu ndio naona hayo naomba nielekezwe.