App ya ku track messages za namba nyingine

Haya mambo yasikieni tu kwa watu wengine na ombeni Mungu yasije kuwakuta. Ni sheeeeda
 
Hii kitu niliwahi kutumia kipindi cha nyuma. Dah ni kujitafutia presha bure na kujipunguzia siku za kuishi, sitosahau siku niliponasa naongezi yao, demu wangu akishukr kwa kuliwa 0712. Nilipungua kilo 13 ndani ya siku saba
[emoji22] [emoji22] [emoji25]
 
Tupe ufafanuzi kidogo kiongoz hapo sim inayotumika kuistore ni mmoja au ni zote mbili?
Whatsap web hauinstall ila unachotakiwa uweze kupata sim ya mtu unaye taka kuangalia chat zate . then unaingia kwenye setting ya whatsap yake utakuta whatsap web ukifungua iyo menu itaanza kuscan . fungua browser ya pc yako fungua link ya whatsap web nilishaituma apo juu ikifunguka itaonyesha barcode reader chukua ile sim yake elekezea kwenye iyo barcode reader kama unapiga picha ikiwa bado inaendelea kuscan utaona browser ikifungua whatsap na chat zote ambazo zipo kwenye sim
 
Shkuran kwa ufafanuzi kiongozii..Taifa tunajivunia kuwa na watu makini kama nyinyi
 
Whatsap web hauinstall ila unachotakiwa uweze kupata sim ya mtu unaye taka kuangalia chat zate . then unaingia kwenye setting ya whatsap yake utakuta whatsap web ukifungua iyo menu itaanza kuscan . fungua browser ya pc yako fungua link ya whatsap web nilishaituma apo juu ikifunguka itaonyesha barcode reader chukua ile sim yake elekezea kwenye iyo barcode reader kama unapiga picha ikiwa bado inaendelea kuscan utaona browser ikifungua whatsap na chat zote ambazo zipo kwenye sim
hapo kwenye red mkuu
Browser itajifungua yenyewe bila ku click?
Na akiwa online nitafungua browser nakuona vyote anavyochat akiwa online au hata text zake za nyuma alizochat?
 
Text za nyuma haileti. Unaanza kuona za muda ambao umeconnect
 
hapo kwenye red mkuu
Browser itajifungua yenyewe bila ku click?
Na akiwa online nitafungua browser nakuona vyote anavyochat akiwa online au hata text zake za nyuma alizochat?
Lejea maelezo ya nyuma kabla hujaanza kufanya chochote unatakiwa uwe na hivi vitu
1. Sim ya mtu unayemtrack
2. Pc au sim iliyokuwa installed latest google chrom au mozira usisahau kuselect desktop mode kama utatumia sim
3. Link ya whatsap web au aps yake

Ukishakuwa navyo ivo fuata maelekezo
1. Fungua link ya whatsap web utakuta barcode leader
2. Ingia kwenye setting ya whatsap ya mtu unayemtrack then ingia whatsap web
3. Scan barcode leader ya kwenye iyo whatsap web page kwa kutumia sim ya mtu unayemtrack
4. Ni kitendo cha sekunde kama mtandao upo vizur
5. Ukishascan angalia kinachotokea utakuwa umemaliza procedure

Ila akiwa online na ww unaweza kuwa online kupitia whatsap web na utaona txt zote za zaman alizokuwa anachati kama hajafuta
 
Hivi hakuna labda program ambayo labda ni ya kulipia bila kuwa na simu ya mtu unayemtrack??

Mfano mimi naishi Tanga ninaemtrack anaishi Dar bila usumbufu wa kuitafuta simu yake, nifanye mambo yote huku huku?

Je kumtrak mtu kujua msg anazochat facebook inakuwaje?
 
Ukimchunguza sana bata hutoweza kumla.Usithubutu hata chembe ku download hiyo apps kwani utajutia uamuzi wako.
 
Back
Top Bottom