App store

Danywilly

New Member
Dec 13, 2021
2
1
Habari wana jf,

Samahani naweza kupata msaada ni kivipi naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye App store tafadhari, naomba kuwasilisha
 
Habari wana jf,

Samahani naweza kupata msaada nikivp naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye app store tafadhari, naomba kuwasilisha
Wanavyosema aifoni ni gereza la kifalme uwe unaelewa
 
Back
Top Bottom