App store

App store

Danywilly

New Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Habari wana jf,

Samahani naweza kupata msaada ni kivipi naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye App store tafadhari, naomba kuwasilisha
 
Nenda play store andika jina la hiyo app na mbele yake andika download.
Mfano, whatssap app download au instagram app download.

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jf,

Samahani naweza kupata msaada nikivp naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye app store tafadhari, naomba kuwasilisha
Wanavyosema aifoni ni gereza la kifalme uwe unaelewa
 
Back
Top Bottom