App hii inakusaida kuongezea Faida na Kuboresha Ufugaji Wako Bila Stress !!

App hii inakusaida kuongezea Faida na Kuboresha Ufugaji Wako Bila Stress !!

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
197
Kama ushawahi kujiuliza kwamba kuku mmoja anakula kiasi gani akiwa na umri gani,basi Fuga app itakupa majibu yote kuhusu ratiba ya chakula,kila siku . Hautopoteza tena chakula wala kuwapunja tena kuku wako

Download Fuga app playstore [ Fuga - Apps on Google Play]

F-1_20250624_093937_0001.png
 
Ila nakupongeza ila BINAFSI naamini kufuga kwa asili wajilishe wenyewe tena kuna mzee alinambia weka gunia la chakula mahalo na maji wao wanaenda kudonoa pale mpk liishe
 
Ila nakupongeza ila BINAFSI naamini kufuga kwa asili wajilishe wenyewe tena kuna mzee alinambia weka gunia la chakula mahalo na maji wao wanaenda kudonoa pale mpk liishe
Alikwambia ni haina ipi ya Chakula?
 
Back
Top Bottom