Babarazack Senior Member Joined Sep 9, 2015 Posts 134 Reaction score 161 Feb 7, 2017 #1 Nahitaji kudownload app ya dictionary english-Swahili ipi ni nzuri jamani? Au anaeifahamu ashare na mimi kwa link basi. Nitashukuru
Nahitaji kudownload app ya dictionary english-Swahili ipi ni nzuri jamani? Au anaeifahamu ashare na mimi kwa link basi. Nitashukuru
kamusiproject New Member Joined Feb 13, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Feb 14, 2017 #2 Babarazack said: Nahitaji kudownload app ya dictionary english-Swahili ipi ni nzuri jamani? Au anaeifahamu ashare na mimi kwa link basi. Click to expand... Kamusi ya Kiswahili kutoka Kamusi Project inapatikana katika app hii: Kamusi GOLD: Free Swahili Dictionary for Mobile Devices
Babarazack said: Nahitaji kudownload app ya dictionary english-Swahili ipi ni nzuri jamani? Au anaeifahamu ashare na mimi kwa link basi. Click to expand... Kamusi ya Kiswahili kutoka Kamusi Project inapatikana katika app hii: Kamusi GOLD: Free Swahili Dictionary for Mobile Devices
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,105 Feb 14, 2017 #3 Wordweb ndiyo mwisho wa matatizo halafu ni offline* Lakini hiyo ni English to English
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,059 Feb 17, 2017 #4 Youngblood said: Wordweb ndiyo mwisho wa matatizo halafu ni offline* Lakini hiyo ni English to English Click to expand... weka link kaka maana pc yangu haina dictionary ni aibu kwa gt
Youngblood said: Wordweb ndiyo mwisho wa matatizo halafu ni offline* Lakini hiyo ni English to English Click to expand... weka link kaka maana pc yangu haina dictionary ni aibu kwa gt