App gani nzuri kwa sms kwako?

App gani nzuri kwa sms kwako?

MC44

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
2,168
Reaction score
3,304
Nilikuwa natumia mood lkn inachelewa kufunguka inaweza kaa sek 5 hadi 10.
Nipo kwenye Textra ipo Fasta sana ila haina features nzuri kama mood.
Ipi nzuri kwako?

Mood niliipenda kwa haya.
-ina simple reply
-ina option ya call
- Ina onesha jina la namba
-ina option ya search
 
Kuna kimoja nilikuwa natumiaa 2018 kulikuwa ja Mb chache kilikuwa kinaitwa TAA kama sikosei
 
Back
Top Bottom