Sawa mkuluIngia androidsam.com kisha li'click' gemuView attachment 670198
Shuka chini hadi utakuta link imeandikwa PES 2018View attachment 670201
Click hiyo link.....ukiclick italeta page ya hivi ka hapo chini.....tulia kwa sekunde 5 mpaka neno SKIP AD litokeeView attachment 670204
Click skip ad....utaenda moja kwa moja kwenye page hivi chini yake kuna neno PAKUA click hilo nenoView attachment 670208
Ukishaklick litaanza kudownload na mchezo ndo utaishia hapo.
Pamoja sana mkuu ngoja nikajaribu master wanguIngia androidsam.com kisha li'click' gemuView attachment 670198
Shuka chini hadi utakuta link imeandikwa PES 2018View attachment 670201
Click hiyo link.....ukiclick italeta page ya hivi ka hapo chini.....tulia kwa sekunde 5 mpaka neno SKIP AD litokeeView attachment 670204
Click skip ad....utaenda moja kwa moja kwenye page hivi chini yake kuna neno PAKUA click hilo nenoView attachment 670208
Ukishaklick litaanza kudownload na mchezo ndo utaishia hapo.
Ndio nalidownload asaiv likishaaingia nifate procedure zipi kuli install??Pamoja sana mkuu ngoja nikajaribu master wangu
FTS 17 - RAFA GAMER™.zipwakuu mwenye link ya fts2018 naomba
si una zarchiever????Ndio nalidownload asaiv likishaaingia nifate procedure zipi kuli install??
Mkuu hilo gemu ukilidownload,unainstall moja kwa moja unacheza ama kuna mambo mengine unafanya
Ndio mkuu ninayo na tayar nishadownload kila kitu naomba muongozosi una zarchiever????
Fungua zarchiever angalia ulipoweka gemu lako kisha nambie lina rangi gan ili nikupe muongozo....fasta nakungojaNdio mkuu ninayo na tayar nishadownload kila kitu naomba muongozo
Rangi ya blue ivFungua zarchiever angalia ulipoweka gemu lako kisha nambie lina rangi gan ili nikupe muongozo....fasta nakungoja
Blue and white sindiyo,????Rangi ya blue iv
NdioBlue and white sindiyo,????
Sasa hapo kazi Kwisha.....chukua hilo gemu,licopy kisha lipaste kwenye faili lolote ulipendalo.fungua ppsspp ikifunguka nenda kwenye faili ulokopi gemu lako.fungua utalikuta,click kwenye gemu kisha gemu litafunguka...enjoy gemu lako....Ndio
Una view file mkuu na zarchiver baada ya kuview kitakuja option tatu ya data obb apk na baada ya hapo switch data connection iwe off then copy files ulizoextract kwa folder ya android na hakikisha data files unaweka kwenye file la data na pia obb sehemu ya obb na ukimaliza install apk then launch game mkuu[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Mkuu hilo gemu ukilidownload,unainstall moja kwa moja unacheza ama kuna mambo mengine unafanya
Sawa mkuu ngoj nichangamkie fursaUna view file mkuu na zarchiver baada ya kuview kitakuja option tatu ya data obb apk na baada ya hapo switch data connection iwe off then copy files ulizoextract kwa folder ya android na hakikisha data files unaweka kwenye file la data na pia obb sehemu ya obb na ukimaliza install apk then launch game mkuu[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Pamoja sana RobettoSawa mkuu ngoj nichangamkie fursa
Mkuu imekubali sema kuna sehem imefika imestack ngoja nifunge simu alafu niifungue tenaSasa hapo kazi Kwisha.....chukua hilo gemu,licopy kisha lipaste kwenye faili lolote ulipendalo.fungua ppsspp ikifunguka nenda kwenye faili ulokopi gemu lako.fungua utalikuta,click kwenye gemu kisha gemu litafunguka...enjoy gemu lako....
Nipe mrejesho Tafadhali...
Ila siaigomi???Kila nikitaka kuchagua timu nicheze inaniambia runing slow try to skip sound sasa hapo ndo nashindwa kuelew
Sometime wanaenda slow hususan ukushaaongeza sautiIla siaigomi???