Apk ya Dream League soccer 2017

Ppsspp,zarchiever pamoja na gemu.....ukiwanavyo hivyo vitatu umemaliza
Nashkuru mkuu ila nimeingia kwenye androidsam.com but nashindwa kulidownload game naomba unisaidie procedure ili nifanikiwe kulidownload mkuu
 
Ndio nimeliona sema nimetouch pale naona yanakuja tena maneno mengi mengi nashindwa niingie wap
Ingia androidsam.com kisha li'click' gemu
Shuka chini hadi utakuta link imeandikwa PES 2018
Click hiyo link.....ukiclick italeta page ya hivi ka hapo chini.....tulia kwa sekunde 5 mpaka neno SKIP AD litokee
Click skip ad....utaenda moja kwa moja kwenye page hivi chini yake kuna neno PAKUA click hilo neno
Ukishaklick litaanza kudownload na mchezo ndo utaishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…