Apk ya Dream League soccer 2017

Nilifanikisha kuhack coins…
Kwa ambae bado hajaweza afanye kudownload LUCKY PATCHER (latest version), then aniquote nimupe maelezo hapa hapa
 
Nilifanikisha kuhack coins…
Kwa ambae bado hajaweza afanye kudownload LUCKY PATCHER (latest version), then aniquote nimupe maelezo hapa hapa
nimeshadownoad luck patcher nifanyeje ss
 

1.Anza kwa kudownload lucky patcher


2.Then ifungue app ya lucky patcher na utafute Dream league ilipo


3.Fungua sehemu ilivyoandikwa hivyo


4.Bonyeza sehemu iliyoandikwa Create Apk kama nilivyomark


5.Bonyeza sehemu iliyonyoandikwa hivyo


6.Bonyeza rebuild up na uiache iprocess kama kwa dakika 2 nzima
Ikimashamaliza itakuletea option ya kuinistall/unstall game
Fanya hivyo




Likisha install rudi nyuma kawaida na ufungue App ya DLS kawaida.
Likishafunguka na ukasajili captain wako bonyeza pale kwenye COINS


Ukishabonyeza kwenye COINS itakuletea hiyo option na weka TICK kama nilivofanya hapa
weka vitu hapa

Tayar ,,nimeshadownload latest twende Kaz

nimeshadownoad luck patcher nifanyeje ss
 
la mpira? kuna real football, fifa na pes. ila kwa gameplay games za psp ni nzuri kama una pad download ppsspp na rom ya pes ucheze game lenye uhalisia

Kuna game linaitwa Modern Combat 5 (mc5) yaani hili nimeshindwa kupata coin kabisaaaaaa, nimetumia lucky patcher and game guardian lakini wapi, kuna aina ingine tena
 
Kuna game zuri la mpira FTS ili ni kama fifa unaweza ukawa manager, player ukahama timu to timu, ukafukuzwa kazi angalau lina uhalisia kuliko dream soka

Kuliistall link paka utoe youtube udownload zip file playstore then uextract lina process kidogo
 
s̸a̸m̸a̸h̸a̸n̸i̸ m̸k̸u̸u̸ h̸e̸b̸u̸ i̸t̸u̸m̸e̸ i̸l̸e̸ p̸i̸c̸h̸a̸ y̸a̸ k̸u̸w̸e̸k̸a̸ t̸i̸k̸i̸ m̸a̸a̸n̸a̸ h̸u̸k̸u̸ h̸a̸i̸j̸a̸f̸u̸f̸u̸n̸g̸u̸k̸a̸
 

 
Weka TICK kwenye Auto repeat purchase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…