Ingia hapo kwenye leaderboard utajiona wa milion 2 kama mimi[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1454343View attachment 1454347View attachment 1454348View attachment 1454349
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mmeshafika division ya ngapi..?Mda wote niko 5 sipandi sishuki[emoji23][emoji23]
Ila kuna mda unakutana ns timu ambayo haina uwanja mkubwa hao ndo wa kupiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mmeshafika division ya ngapi..?
Mi nipo ya 4..! Naona kabisa ya 3 siingii bila kufanya figisu..[emoji23]
Kwenye hili gemu kuna figisu sana lzm utumie akili kuwa tu na wachezaji wenye uwezo sio tatizo bali uwezo wa kuwachezesha pia bila kusahau mbinu na figisu za kiwango cha lami..!
Mpk kufika hapo nimeelewa mengi sana mission yangu mpk nifike division ya kwanza nione Kuna vibopa kweli au vipi sahivi mtu akija hovyo anachezea vibaya Sana na uhakika wa kutokushuka daraja ninao tatizo kupanda tu!.. mpk kitaeleweka..[emoji28]
Online sio pa kunyea wewe hakikisha wachezaji wako wapo strong enough yani wawe black uwezo asilimia Mia hapo ndo utaanza kuwa na ahueni.. Kuna ka Siri kamoja nakafatilia huku online juu ya wachezaji kakiwin watanikoma..😂me nmefika legendary division saiv natafuta ela ya wachezaji nianze online match
Online sio pa kunyea wewe hakikisha wachezaji wako wapo strong enough yani wawe black uwezo asilimia Mia hapo ndo utaanza kuwa na ahueni.. Kuna ka Siri kamoja nakafatilia huku online juu ya wachezaji kakiwin watanikoma..[emoji23]
Mkuu we bado unahangaika na coin wakati Kuna namna ya ku hack ukapata mikoin isiyoisha au wewe unacheza la 2020..?
Sisi tunacheza dream league 2019.
Basi haya yakwetu tuachie we pambana na 2020 yako sisi bado tupo 2019..me nacheza la 2020 na online niko tier15 na wachezaj hawahawa wenye rate 60
Mkuu umelipakuwa wapi, mm nili unstall bahat mbaya bt nilipo instal tena nikakuta liko tofauti na kucheza ni mpk uwashe data, nipe link
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilifika div 3,nimecheza round mbili tu nimerudishwa nilikotoka div 4,,yaani ni kwa motoWakuu mmeshafika division ya ngapi..?
Mi nipo ya 4..! Naona kabisa ya 3 siingii bila kufanya figisu..[emoji23]
Kwenye hili gemu kuna figisu sana lzm utumie akili kuwa tu na wachezaji wenye uwezo sio tatizo bali uwezo wa kuwachezesha pia bila kusahau mbinu na figisu za kiwango cha lami..!
Mpk kufika hapo nimeelewa mengi sana mission yangu mpk nifike division ya kwanza nione Kuna vibopa kweli au vipi sahivi mtu akija hovyo anachezea vibaya Sana na uhakika wa kutokushuka daraja ninao tatizo kupanda tu!.. mpk kitaeleweka..[emoji28]
DLS 2020 halinogi,cheza dls 2019 online utaenjoy saname nacheza la 2020 na online niko tier15 na wachezaj hawahawa wenye rate 60
Jana tu nimekula kipondo nimerudi division ya 5!!.. Kama ni kukandwa basi Jana nilikula migoli ya uhakika..😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilifika div 3,nimecheza round mbili tu nimerudishwa nilikotoka div 4,,yaani ni kwa moto
Jina mpuuzi alifuta game,Wakuu mmeshafika division ya ngapi..?
Mi nipo ya 4..! Naona kabisa ya 3 siingii bila kufanya figisu..[emoji23]
Kwenye hili gemu kuna figisu sana lzm utumie akili kuwa tu na wachezaji wenye uwezo sio tatizo bali uwezo wa kuwachezesha pia bila kusahau mbinu na figisu za kiwango cha lami..!
Mpk kufika hapo nimeelewa mengi sana mission yangu mpk nifike division ya kwanza nione Kuna vibopa kweli au vipi sahivi mtu akija hovyo anachezea vibaya Sana na uhakika wa kutokushuka daraja ninao tatizo kupanda tu!.. mpk kitaeleweka..[emoji28]
Sijakuelewa mkuu..😂Jina mpuuzi alifuta game,
[emoji849]
Kuna watu hii dunia wana visirani sanaJana tu nimekula kipondo nimerudi division ya 5!!.. Kama ni kukandwa basi Jana nilikula migoli ya uhakika..[emoji23]
Natumai nitarudi Tena division 4 najijua mpk niizoee ndo nitaivuka sahivi wacha wanionee.. mkuu timu yako inaitwaje..?
Yakwangu ni Saturn.. Kuna njemba nilishawahi mfunga mpk akakasirika alivyoona magoli yamekuwa mengi akaanza kujifunga makusudi..[emoji23][emoji23]
Mi nilikuwa hata sihangaiki anaanza mpira anaurudisha golini kwake anajifunga [emoji23] mi nikawa namuandikia tu "thanks"..[emoji28]
Sio lazima ucheze data zikiwa on hizi game za mashindanoMchawi bando mzee
[emoji3][emoji3][emoji3]inaitwa Chelsea fc lakini pia kwa chini kuna bekatheboytz,ww umeitumia jina gani mbali jina la timuJana tu nimekula kipondo nimerudi division ya 5!!.. Kama ni kukandwa basi Jana nilikula migoli ya uhakika..[emoji23]
Natumai nitarudi Tena division 4 najijua mpk niizoee ndo nitaivuka sahivi wacha wanionee.. mkuu timu yako inaitwaje..?
Yakwangu ni Saturn.. Kuna njemba nilishawahi mfunga mpk akakasirika alivyoona magoli yamekuwa mengi akaanza kujifunga makusudi..[emoji23][emoji23]
Mi nilikuwa hata sihangaiki anaanza mpira anaurudisha golini kwake anajifunga [emoji23] mi nikawa namuandikia tu "thanks"..[emoji28]
Kuna majina kama covid na mengine ya ajibu hao watu wanadunda hatari[emoji23]Jana tu nimekula kipondo nimerudi division ya 5!!.. Kama ni kukandwa basi Jana nilikula migoli ya uhakika..[emoji23]
Natumai nitarudi Tena division 4 najijua mpk niizoee ndo nitaivuka sahivi wacha wanionee.. mkuu timu yako inaitwaje..?
Yakwangu ni Saturn.. Kuna njemba nilishawahi mfunga mpk akakasirika alivyoona magoli yamekuwa mengi akaanza kujifunga makusudi..[emoji23][emoji23]
Mi nilikuwa hata sihangaiki anaanza mpira anaurudisha golini kwake anajifunga [emoji23] mi nikawa namuandikia tu "thanks"..[emoji28]
Haziendi sana,mb kichele tu unacheza mpaka basi Ila 2020 ndo linakula kwa sababu lenyewe kila kitu ni onlineMchawi bando mzee
Sijalielewa nimedownload mara mbili nikacheza cheza na hatimaye kulifuta,,yaan moto wa 2019 ni shida2020 la moto
Mi ndo hiyohiyo Saturn hakuna la ziada![emoji3][emoji3][emoji3]inaitwa Chelsea fc lakini pia kwa chini kuna bekatheboytz,ww umeitumia jina gani mbali jina la timu
Very true[emoji16]2020 la moto