Apanda Mlima Kilimanjaro kwa Saa 24

Hesabu za wapi hizi km 60= meta 5895?
Dp we tuletee story za mama J tu...huku hutoelewa......hizo 5895...! Elevated part tu ya mlima wenyew...ila from sea level ndo hyo km 60 anayoi state huyo mwamba.....na inategemeana na route uliopandia
 
WENGI MLIO TOA MAONI YENU HAPO NYUMA NI WAJUAJI NA WAPUMBAVU PIA RUTI FUPI MLIMANI NI KM37 NA RUTI NDEVU NI KM90 APO UNAPANDA MLIMA AMBAO KATIKATI YAKE UNAVIKWAZO MBALIMBALI PAMOJA NA HALI YA HEWA KUZINGUA SASA VIJANA WA DAR MNALETA TAMBO ZENU ZA KIBOYA FANYENI KAMA MNAVUNGA ACHENI KUPOTOSHA UMA
 
mimi binafsi kwa fani yangu ya jiolojia imeniwezesha kutembelea milima mingi katika tafiti za madini,

mlima kiliamnjaro nina uwezo wa kuupanda 24 hours bila utani and am serious
Naomba upande na kushuka...tuletee Timer hapa.

You have my price...1000USD

Mimi nimepanda na sijafika juu....!

Najua ule Mlima ukoje...!
 
"Mashindano ya mbio za baiskeli yanayofanyika ndani na nje ya nchi"
Kweli hili! Ni waTanzania wangapi wanahiyo fursa ya nje ya nchi.
Watoka visafiria PP wazembe kupindukia!
Waziri acha hizo kutudanganya!!
Nimeenda.
 
Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni

Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
Tokea nimeanza kuupanda huo mlima 1999 December sijawahi kuuzoea kiihivyo! Hauko simple kama watu wauonavyo! Kwa kifupi Kilimanjaro sio pakutania kwa wale ma legendary wa huo mlima tunapajua msifanye masihara! Sio gym pale!
Pay respect for mountaineering 🙏
 
Mmmh hui mlima mrahisi kupanda ni huu huu Kilimanjaro au mlima wa wali na ugali?
 
Mimi nimeupanda mara mbili kupitia machame gate. Achana na hawa madogo wanaoongea tu bila kuwa na experience yoyote. Wanauchukulia mlima KLM kama kijilima flani hivi bila kujua changamoto za hali ya hewa zilizopo ndizo zinazofanya safari iwe ndefu.
 
Ukienda Straight ni km 5 , tatizo hakuna njia ya moja kwa moja direct , ni kuzunguka kama wana wa israel Jangwani , ndo safar inakuwa ndefu , sjajua kama hii ni strategically ili kupiga pesa za wale wanaopanda au kulingana na topography ya eneo
 
Haikuwa na haja ya kumjibu huyo mpumbavu. Aliongea kitu ambacho hakipo kabisa😆😆
 
Ukienda Straight ni km 5 , tatizo hakuna njia ya moja kwa moja direct , ni kuzunguka kama wana wa israel Jangwani , ndo safar inakuwa ndefu , sjajua kama hii ni strategically ili kupiga pesa za wale wanaopanda au kulingana na topography ya eneo
Topography, body temperature adoption + tourism.
Tourists are there to learn not just to climb the mountain.
 
Ingekua ni Km kama za Uyole mpaka Mbarali wengi wangeupanda na kushuka tatizo ni kubadilisha hali ya hewa mgandamizo wa hewa ndogo ya Oxygen kila unapoenda juu unapungua wengi wanaongea kwa hadithi na mlima upo Moshi tuu hapo...
sasa unadhani mgandamizo wa hewa unaathiri kila mtu kwa kiwango sawa?
 
Ni muhimu kwa Watanzania kushiriki katika mashindano ya mbio za baiskeli, si tu kwa ajili ya burudani na mazoezi bali pia kwa ajili ya kukuza vipaji na kuwezesha taifa kufikia mafanikio makubwa katika michezo ya kimataifa.

Mgeni wetu kutoka nchini Poland, Bw. Mike Leszek Mikulski, ni mmoja wa wanasoka bora duniani na kuweka rekodi ya kupanda Mlimani Kilimanjaro na kushuka kwa muda wa saa 24 ni jambo la kujivunia sana. Hii ni fursa nzuri kwa Watanzania kujifunza kutoka kwake na kujitokeza kwa wingi katika michezo ya baiskeli na michezo mingine ili kufikia mafanikio makubwa katika uwanja wa kimataifa.

Nawaomba Watanzania wote, hasa vijana, kushiriki katika michezo na kuendeleza vipaji vyao. Kwa kufanya hivyo, tunaweza kukuza tasnia ya michezo nchini na kufikia mafanikio makubwa katika siku zijazo.
 
Bado hajavunja rekodi ya mtz aliyepanda mlima huo kwa masaa 8.
Mkuu rekodi zinavunjwa'ga' na wazungu tu.

Huvi uliwahi sikia au kuona mtu anayeishi Afrika akaingia kitabu cha guinness word records?.
 
Mimi nawacheki tu, wengine sisi ndio office yetu ile
 
KM 37 watu wanaimaliza kwa masaa manne kwenye out door running

Usidhani ni kitu cha ajabu

Na huo mlima ni km zilivyo barabara zingine tu kuna sehem ya mwinuko, miteremko, tambarare
Kwahiyo hakuna kiti kunashindikana
 
Ni mind set yako uliyoijenga

Hata sisi tuliogopeshwa mara ya kwanza

Lkn tukagundua njian ni kitu chepesi tu, Njiani tulikuwa tunawapita makundi ya watu wanatembea polepole na kushangaa chemicgemi za maji

Nilikuwa na kamanda tukaiacha crew yetu tukaenda kwa joging ila guide akawa anatukataza tutapotea na bla bla kibao

Tulifika kituo cha kwanza kile ( sikumbuki jina)
Crew yetu tuliisubiri kwa masaa mawili ndio wakafika wakadai wamechoka tupumzkie

Hali ya hewa pale kweli ilibadilika baridi na chai kwenye jiko la gesi ilitumia dkk km kumi kupata moto kutokana na maji baridi sana wakati majumbani chai dkk tano tu imechemka

Tatizo mnashindwa kutofautisha kupanda mlima kwa kutalii ukiwa umerelax kwakuwa umetenga siku zako 3+

Ila kwenda kwa lengo la kufika kileleni kuanzia asubuhi hadi saa nane saa tisa utakuwa kileleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…