Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,401
- 55,105
Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni
Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
Sasa km 17 ndo uushuke kwa masaa 2.5?Km 17
Mbona mengi kwanza lisaa limoja ru na nusu nashukaSasa km 17 ndo uushuke kwa masaa 2.5?
Acha uoga mzee,mlima uko overated sana ,mzungu ameprove hilo,tunachelewesha watalii ili tuwapige mpungaUle mlima ni kipengele kwanza hali yake ya hewa ni mbaya na ngumu sana binafsi nilishasema nitafanya challenge zingine ila ya kupanda ule mlima hapana
Wanajifanya wajuaji bila kujua kuwa kila kitu kina procedures zake kwa usalama wa mhusika. Hakuna procedures kali za kiusalama kama za kupanda milima tena yenye hali tofauti tofauti za hewa.Watanzania ni wajuaji sana.
Mnajua ni kwanini watu wanapanda mlima kidogo kidogo?
Mnajua athari za kiafya kupanda mlima kama mnazi?
Mnajua kwanini wengine wanafia huko juu kileleni?
Usidanganye watu hapa, pamoja na kuwa kuna njia fupi na njia ndefu ila sio kwa masaa hayo na kila njia ina faida zake.Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni
Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23]pale Mbuyuni (chimala) tulipanda mlima fulani hivi kufata Andesite juu[emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka kuna binti aliingia period aiseemimi binafsi kwa fani yangu ya jiolojia imeniwezesha kutembelea milima mingi katika tafiti za madini,
mlima kiliamnjaro nina uwezo wa kuupanda 24 hours bila utani and am serious
Kilimanjaro unapanda na kushuka in 24 hours.WEWE NI MUONGO SANA
Unavijua vipimo vya umbali kweli wewe?Unajua Ina umbali wa km ngapi?
Usichukulie zile meta 5895 kama ndo umbali wake hizo meta ni za mwinuko kutoka usawa wa bahari na umbali kutoka chini ya mlima na kilele Cha mlima ni habari nyingine, unaweza Kuta Kuna km 60 Sasa km60 utumie masaa 2?
Hao wanaopandaga siku 3 ni wachovu tu,sijawahi kufika hapo ila nauhakika napanda kwa masaa tu mpaka juu
Hamna akili nyie. Nendenj kama hamjarudi maiti.Huo mlima mimi napanda masaa 5 nashuka masaa 2.5.
Mkuu kadiri altitute inavyozidi kuongezeka air pressure inashuka hivyo kufanya upumuaji kuwa mgumu.Mm binafs niliwai kuwaza kupanda kwa nasaa 24 tu nashNgaa hz mbwembww za siku saba
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Najaribu kusoma comments za watu huku...wengi wanaji boast kwamba wanaweza panda kwa saa nane ila kiuhalisia ni kwamba hawajawah kuupanda huo mlima....Mimi pamoja na kupiga tizi za kutosha ila ule mlima ni habar nyingine kqbisa...yaan unayoelekea juu hewa ni kama inabadilika iv kwa hyo mwli unakuwa na uchovu usio wa kawaida