Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni
Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
Unaongelea mlima upi?Huo mlima mimi napanda masaa 5 nashuka masaa 2.5.
WEWE NI MUONGO SANA
Huo mlima mimi napanda masaa 5 nashuka masaa 2.5.
umbuka jinsi unavyopanda hewa huwa nzito sanaHao wanaopandaga siku 3 ni wachovu tu,sijawahi kufika hapo ila nauhakika napanda kwa masaa tu mpaka juu
Hao wanaopanda siku 3 ni wagonjwa tu wa vifua pumu, visukari, vitambi na kutofanya mazoezi miguu mizito ila mimi sijawahi fika hapo ila nauhakika naupanda kwa masaa machache tu.Utafia huko bure...k
umbuka jinsi unavyopanda hewa huwa nzito sana
Ndoto hazijawahi kushindwa kitu.🤣Hao wanaopanda siku 3 ni wagonjwa tu wa vifua pumu, visukari, vitambi na kutofanya mazoezi miguu mizito ila mimi sijawahi fika hapo ila nauhakika naupanda kwa masaa machache tu.
Unajua Ina umbali wa km ngapi?Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni
Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
Kilometa 17 unatumiaje siku tatuHao wanaopandaga siku 3 ni wachovu tu,sijawahi kufika hapo ila nauhakika napanda kwa masaa tu mpaka juu
Km 17Unajua Ina umbali wa km ngapi?
Usichukulie zile meta 5895 kama ndo umbali wake hizo meta ni za mwinuko kutoka usawa wa bahari na umbali kutoka chini ya mlima na kilele Cha mlima ni habari nyingine, unaweza Kuta Kuna km 60 Sasa km60 utumie masaa 2?
nakuambia nimeshapanda mara 4 ule mlima. Mara ya mwisho ni july 2022. Tulienda kiofisi na waliotuchelewesha nii mademu na vibonge. MIIMA KILIMANJARO NAPANDA NA KUSHUKA MASAA 8 YANATOSHA VIZURI.Unaongelea mlima upi?
You get to be serious buddy!!
Unajua Ina umbali wa km ngapi?
Usichukulie zile meta 5895 kama ndo umbali wake hizo meta ni za mwinuko kutoka usawa wa bahari na umbali kutoka chini ya mlima na kilele Cha mlima ni habari nyingine, unaweza Kuta Kuna km 60 Sasa km60 utumie masaa 2?
Mkuu km 60 mkuu unazijua kweli vizuri?Unajua Ina umbali wa km ngapi?
Usichukulie zile meta 5895 kama ndo umbali wake hizo meta ni za mwinuko kutoka usawa wa bahari na umbali kutoka chini ya mlima na kilele Cha mlima ni habari nyingine, unaweza Kuta Kuna km 60 Sasa km60 utumie masaa 2?
Cc Juma1967 CountrywideWabeba mizigo ndio hufanya safari uchukue siku tatu wakiwaongoza wazee na wenye vitambi vya chips