Ohoooo!!!Kuna mama alitoa ushuhuda alipata mume akiwa na miaka 60, miaka yote hakuwa anaijua ndoa.
Habari za mchana wakuu,
Kuna rafiki yangu ambaye hana bahati ya kupendwa na mtu wa dini yake. Wakati anasoma chuo alibahatika kupendana na kijana mmoja ambaye alikuwa tayari kufunga ndoa na huyo binti watakapo hitimu masomo na kupata kazi.
Hiyo project ataifanya mpaka lini? Vijana wa siku hizi hawaoi wazee...labda aolewe na kibabu cha miaka sabini ama .....mtu aliyeshindwana na ndoa mara tatu mwanamke kuto kuolewa it is a curse trust meHizo stress zitamfanya aharibu kabisa, aache kufikiria habari ya kuolewa kwa sasa, aanzishe project itakayo mkeep busy. Mara nyingi mtu uliepangiwa na Mungu anakuja wakati ambao jukutegemea.
Hamna curse wala nini, when the time is right someone will be available for her, don't put unnecessary pressure on her plz.Hiyo project ataifanya mpaka lini? Vijana wa siku hizi hawaoi wazee...labda aolewe na kibabu cha miaka sabini ama .....mtu aliyeshindwana na ndoa mara tatu mwanamke kuto kuolewa it is a curse trust me
Huyu aweza kuwa age mate?[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hizo stress zitamfanya aharibu kabisa, aache kufikiria habari ya kuolewa kwa sasa, aanzishe project itakayo mkeep busy. Mara nyingi mtu uliepangiwa na Mungu anakuja wakati ambao jukutegemea.
Even at the age of 50s?..hilo litakuwa ni penzi la kinafiki sio realHamna curse wala nini, when the time is right someone will be available for her, don't put unnecessary pressure on her plz.
Are beeping for it, wrong number.Huyu aweza kuwa age mate?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hizo bahati za kina J-Lo na kina Madonna, hapa bongo mhh! akeshe akiombaHamna curse wala nini, when the time is right someone will be available for her, don't put unnecessary pressure on her plz.
Una ramli ya kujua penzi la kweli na la kinafiki?Even at the age of 50s?..hilo litakuwa ni penzi la kinafiki sio real
I don't beep, I always call when need arises! Nimeuliza tu, grudges aren't good for one's health.Are beeping for it, wrong number.