Kisambo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 850
- 531
Maisha ya mapenzi Cha muhimu mioyo kuelewana....Dini ni Matendo na Siyo jina la mahali tunapopata mafundisho ya dini...
Maisha ni mafupi sana akicheza na kuacha kuuskiliza moyo wake atakufa hajayafurahia maisha....
Akiskia maneno ya ndugu ayapuuze na kuweka muziki