ANZISHA KIWANDA KIDOGO NYUMBANI

ANZISHA KIWANDA KIDOGO NYUMBANI

Jamii zetu hazijaandaliwa kupokea mafunzo ya namna hii, kiukweli chemical zinazotumika kutengeneza izo sabuni ni hatari Sana'a.

Unakuta wakina mama wanatengeneza na kuatarisha usalama Wao na walaji.

Mfano hizi sabuni za kusafisha vyoo ni nzuri sana lakini kiuhalisia ni hatari kuliko.

Sitaki kusema mafunzo haya hayana maana kwa kuwa faida zake ni nyingi na zinaonekanika kila pahala. Angalizo ni wajasiria mali hasa kina mama kutumia hizi chemical bila ya vifaa vya kujilinda

Fikiria mtu anafunika mdomo kwa kitambaa cha mkononi au handkerchief huku anakoroga chemicals za sabuni ya chooni?

Kwa mtu anayejua anaweza kunielewa nachoomanisha kiukweli elimu ya kutumia chemicals za aina yeyote katika levels za familia za Tanzania ni kuzidi kuuana wenyewe kwa wenyewe bila kujua ama makusudi.
Nakuelewa unachosema. Kabla ya mafunzo, kuna tahadhari tunafundisha.tazama attachment
 

Attachments

  • vifaa.PNG
    vifaa.PNG
    13.3 KB · Views: 45
Back
Top Bottom