anza wiki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

anza wiki.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by klorokwini, Dec 7, 2009.

 1. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kuna njemba ilikuwa inamkong'ota na kumdunda waif wake vibaya sana mpaka yule mama akawa anaiogopa hii njemba vibaya sana.
  kuna siku hii njemba iliumwa ikaenda hospitali na ikatakiwa kupeleka mkojo, njemba ilirudi home na ikatia mkojo kwenye kichupa na kukiweka pembeni ya kitanda. wakati anatandika kitanda kwa bahati mbaya yule mke wa hii njemba akaumwaga ule mkojo, kwa kuogopa mkong'oto na kipigo cha njemba akaamua atie mkojo wake yeye, halafu auchune kama hakukutokea kitu, bikozi angesema kaumwaga angeng'olewa meno yote kwa kipigo.
  siku ya pili njemba ilichukua mkojo na kupeleka hospitali ,madaktari walionekana kuwa na tafrani na mshangao flani na kuja kuoneshana ile njemba ikiwa imekaa pale inasubiri majibu. na hatimae daktari mkuu akaiita hii njemba chumbani na mambo yakawa kama yafuatavyo.

  daktari: ndugu,una uhakika huu mkojo ni wa kwako?
  njemba:(:ikajibu kwa jeuri na hasira) ushaona mkojo nimeuleta mimi halafu unauliza kama wa kwangu?, wako wewe basi!! aaaargh
  daktari::(baada ya kuona njemba ni jeuri na yeye akaamua kuijibu kwa kejeli) hongera ndugu una ujauzito wa miezi miwili!.

  njemba ilizimia.
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ah ah ah ,you made my day,mwaaaaaaaaaaaaah
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Daaa...
  Jibaba linaujauzito...
  Hahah hhahahah hahahaaaaaa
   
 4. N

  Nesindiso Sir JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! Hii kali sana. Asante mkuu
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha, kuna mpwa 1 huku ni mkali kwa mkewe(jina kapuni) naye anahizi tabia za kibaunsa nahisi ujumbe umefika.
   
 6. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 7. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  sipati picha atakapogundua kilichotokea hicho kipigo atakachotoa kwa mkewe
   
 8. m

  mrlonely98 Member

  #8
  Dec 9, 2009
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dah! hii kali nakupa big up man
   
Loading...