Las Mas Bobos,
So marrying minors is wrong, marriage between a Man and another Man, is right??
it's not right either
Bado mtoto wa mwanamke mwenzio nimekuja nikitaka ufafanuzi hapo kwa red, kumbe hiyo makitu inaweza kuwa na maana nyingine niliyoidhania? Ni maana gani hiyo nyingie ameline mpenzi wangu?jamani, jamani, Asprin wewe?? sina maana hiyo?:becky: namaanisha kuwa,dunia ina vitukovituko?
Bado mtoto wa mwanamke mwenzio nimekuja nikitaka ufafanuzi hapo kwa red, kumbe hiyo makitu inaweza kuwa na maana nyingine niliyoidhania? Ni maana gani hiyo nyingie ameline mpenzi wangu?