Unapo sikia au kuona fursa kwenye mtandao inayohusu fani yako kuwa wa kwanza kujua "HOW IT WORKS", kabla ujaanza kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe. Waandishi wengi wakiona neno APP wanajua ndiyo yaleyale tu hakuna jipya , ukifanya hiyo utakuwa mtu aliyefeli ("FAILURE THINKING") , bali kuwa OPTIMISTIC PEOPLE. Kuna msemo unasema hivi ukitaka kufanikiwa haraka kwenye maisha ongeza speed ya kufeli, ikimaanisha kwamba jaribu mara nyingi bila kukata tamaa. Kuna kitabu nilisoma kinaitwa "THE ENTREPRENEUR MIND" , mwandishi anasema kwamba ukitaka kufanikiwa kwenye field yako fikiria ku "AUTOMATE YOUR BUSINESS" ili iwafikie watu wengi kwa mara moja kwa lugha nyepesi "ADOPT TECHNOLOGY EARLY". Waandishi wengi hawataki ku adopt technology eary ndiyo maana wana struggle sana kwenye field yao.
Waandishi wengi wanasema watanzania sio watu wakununua vitu online especially "HADTIHI", binafsi napinga hiyo hoja haina ukweli ndani yake, kwa utafiti niliyofanya paka nikaja na solutions ni kwamba APP nyingi mifumo mibovu alafu ni kipengele kununua hadithi ndio maana wengi wanashindwa kununua na waandishi wengi kuona APP zote ziko hiyo kitu ambacho sio kweli.
Waandishi wengi wanafikiria short term ndio maana hasipo uza hadithi zake hanakuwa disappointed, pia waandishi wengi hawajui kujitangaza ili wapate pesa wanataka "EASY MONEY". Bora kipi kufanya kitu kigumu na muhimu kwenye maisha yako ya sasa na baadae au ufanye kitu kirahisi ambacho hakina manufaa kwenye maisha yako ya baadae(SHORT TERM GAIN, LONG TERM PAIN). Waandishi wengi hamjui marketing ndio maana hamfanikiwi kwenye fani zenu kwasababu mnataka kufanya kitu wenyewe, kitu ambacho waandishi alioendelea hawafanyi hivyo.
Embu jiulize hili swali na kutafakali kwa kina "KWANIN WAANDISHI WANUZA VITABU VYAO AMAZON NA SIO WHATSAPP/MESSANGER?".
Embu chukua hii pia "SIMBA HAIWEZI KUWA SIMBA BILA YANGA, PIA YANGA HAIWEZI KUWA YANGA BILA SIMBA", hizi timu mbili ndio zinazoendesha TPL. Ukija kwenye upande wa BONGO MOVIE enzi hizo za KANUMBA vs RAY, hawa ndio walifanya SOKO LA BONGO MOVIE lijulikane nje ya TZ na kuwapa hamasa wengine kuwa wasanii, SOKO LA BONGO MOVIE lipo wap kwa sasa baada ya KANUMBA KUFARIKI?. RAY yuko wapi kwa sasa ?
Ok nirudi kwenye FASIHI ANDISHI, ukiwa kama mwandishi penda ku competition yenye tija kwenye MARKETPLACE. Mfano AMAZON kuna kitu kinaitwa BEST SELLING AUTHOR , ukiwa TOP SELLER wasomaji wanatakuwa wanafuatilia sana vitabu vyako kila unapotoa kitabu kipya, watakuwa hawana haja ya kujiuliza wao ni kununua kwasababu ya perception ya TOP SELLER. Njia nyepesi ya kushika soko la uandishi , kuwa wa kwanza kwenye fikra za wasomaji. Unawezaje kuwa wa kwanza ni kufanya juu chini kutoa kazi nzuri kila mara bila EXCUSES. Kingine jikite kwenye UBORA kwa kutoa kazi nzuri na kuzigatia TITLE OF THE BOOK. Uzuri wa kuuza vitabu vyako kwenye maktaba yenye waandishi wengi online ni kuingia kwenye mashindano ya kuiba wasomaji wengine kwa kutoa kazi nzuri na kuvuta wasome vitabu vyako na kukupa pesa nzuri kila mwezi.
Waandishi wengi ilo hawalijui , "YOU CAN'T GROW WITHOUT CHALLENGES", "OPPORTUNITY MAKE WITH DIFFICULTIES". Ukijua kushindana kwa manufaa utafika mbali kwenye fani yako ya uandishi, ushindane kwa LIKES & COMMENTS kwenye magroup ya facebook, nazifananisha LIKES & COMMENTS kwenye magroup ya facebook kama DEMO ACCOUNT KWENYE FOREX. DON'T WASTE YOUR TIME WITH LIKES & COMMENTS ON FACEBOOK GROUPS, BE REAL BE OPTISTIMIC.
"CHANGE YOUR THINKING, CHANGE YOUR LIFE".
Usisite kuwasiliana na mimi kama wewe ni mwandishi wa vitabu/hadithi.
1.0755429928
2. 0786407863
3. 0629251988
Naomba unipigie , usitume message tafadhali.
I cant wait to work with you, welcome!