benny gilbert
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 110
- 65
Kama title linavyo jieleza hapo juu, kama wewe ni mwandishi wa vitabu na huna mtaji wa kuchapisha vitabu sio tatizo tena kwasasa maana technology imesaidia waandishi kuuza vitabu vyao online na kupata pesa. Mwandishi wengi wanauza kazi zao mitandao ya kijamii na mwisho wa siku kazi zao kuzagaa kwenye mitandao bila wao kufaidika na uandishi wao.
Unaweza kuanza kuuza vitabu vyako bila mtu kukopi wala kushare kwenye mitandao na kufanya kazi zako zikulipe na kupata pesa ambayo itakubadilishia maisha yako. Waandishi wengi wanafikri paka wachapishe vitabu ndio wapate pesa, karne ya sasa watu wanapunguza gharama kwa kusoma softcopy. Kwa sasa watu kununua kitabu sh 10000 ni kazi sana, na utasubiri sana vitabu vikulipe kwasababu utasubiri sana mzigo sokoni paka uishe.
Punguza gharama ya kuchapisha uuza softcopy na upate faida kubwa na kuepuka kusubiri pesa kwa muda mrefu bila faida.
Kwa maelezo zaidi kuhusu kuuza vitabu vyako mtandaoni, tafadhali wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0786407863, 0629251988. Karibu tufanya kazi kwa kutumia technology ya kisasa ya kuuaza vitabu online na malipo ni automatically kila mwezi unapokea malipo yako.
Karibuni waandishi wote, tumia technology upunguze gharama.