Anza biashara ya uandishi wa vitabu online (e-book)

Anza biashara ya uandishi wa vitabu online (e-book)

Kujiunga kama mwandishi au msomaji?
Nimeangalia site yako ila naona kama haufanyi vizuri kupata watembeleaji toka google search.

Yaani website haipo kwenye google first page kwa keyword kama "hadithi za kiswahili".

Kwa mujibu wa google keyword planner, watu 10,000-100,000 hutafuta "hadithi za kiswahili".
1569010219688.png

hivyo hii njia nzuri ya kuongeza trafic kwenye website, na watembeleaji toka google wanatafuta infos ni rahisi kuwageuza kuwa wateja hata 5% kuliko jf na mitandao mingine.

Fikiria na tafuta njia kuhusu hilo.
 
Watu wanasoma vitabu online bila kudownload, njia ya rahisi ya kuzuia kazi zako zisizagae ni kuzuia wasomaji kukopi na kushare kwenye mitandao.
Hawawezi screenshot halafu hizo screenshots wakazi compile na kutengeneza PDF zikawa kama kitabu tu? huo ndo mwanzo wa kusambaa.

Unazuiaje hili???
 
Hawawezi screenshot halafu hizo screenshots wakazi compile na kutengeneza PDF zikawa kama kitabu tu? huo ndo mwanzo wa kusambaa.

Unazuiaje hili???

Kinga sahii ni COPYRIGHT. Mwandishi lazima awe na haki miliki ya kazi zake.
 
Hawawezi screenshot halafu hizo screenshots wakazi compile na kutengeneza PDF zikawa kama kitabu tu? huo ndo mwanzo wa kusambaa.

Unazuiaje hili???

Ni ngumu kidogo ukilinganisha na kukopi na kupaste kama wafanyavyo wasomaji wa JF kwenye jukwaa la entertainment.
 
Una mshauri nini huyu mwandishi, "ANAUZA HARDCOPY KWENYE BOOKSHOP NCHI NZIMA, ALAFU ANAUZA SOFTCOPY WHATSAPP NA MESSANGER".
 
Storika imetengeneza jukwaa la mtu kujiajiri kama mwandishi kwa kuandika vitabu na kuuza, ukiwa kama mwandishi unaweza kuingiza pesa za ziada ukiachana na mailipo yako ya mwezi kwa kushirikisha waandishi wengine kuijiunga na storika na kuuza kazi zao uko. Karne hii maisha ni marahisi kama utabadilisha namna unavyo uza kazi zako kwa FANS wako kwa kuwafikishia vitabu vyako kwa njia ya haraka zaidi sio paka waweke oda ya vitabu vyako.

Storika imekuja na mfumo wa mpya wa kuingiza pesa ukiwa kama mwandishi au msomaji kwa kushirikisha watu kujiunga na mfumo, mfumo huu bado wengi hawajui namna ya kutumia sababu ni mpya TZ kwenye upande wa APP ZA VITABU. Kitu kikiwa kipya ndio sehemu ya kuwai kuwa wa kwanza kujiunga ilipate pesa nyingi kushirikisha watu kujiunga na mfumo, ukiwa kama mtu wa NETWORK MARKETING ukitaka kupata faida ni kuwa wa kwanza kujiunga kwenye kampuni mpya ili upate kamisheni kubwa kwa kuanganisha watu wengi.

Storika imetengeneza fursa kwa watu ambao watagundua mapema namna mfumo unavyofanya kazi kuhusu kamisheni, GOOGLE REFFERAL PROGRAM / AFFILIATE PROGRAM ndivyo mfumo unavyofanya kazi kwa kushikrikisha watu na kupata pesa. Njia rahisi ya kuingiza pesa kwenye mtandao kushare link, hakuna njia nyingine rahisi ya kuingiza pesa; FOREX, CRYPTO TRADING vyote vinahitaji elimu kubwa kupata pesa kinyume na hapo unapoteza pesa zako zote. Kushare link kila mtu anaweza kufanya kwasababu ni rahisi.

Njia rahisi ya kuanza kushare link ni FACEBOOK, watu wana amini sana ushauri kutoka kwa rafiki zao kwasababu ndiyo watu pekee wanaowamini, tumia hivyo fursa kuingiza pesa. Unaweza ukafanya kitu kinaitwa REVERSE ENGINEERING kwa kujisajiri kama mwandishi na msomaji, na uwe una fans tayari facebook wanaofuatilia hadithi zao. Unaweka link kwenye page yako fans wako wajiunga wakasoma hadithi zako kwenye mfumo , utapata kamisheni kama msomaji kwa watu kujiunga na utapa kamisheni ya mauzo yako ya hadithi.

Ukitumia hiyo njia utakuwa unaingiza pesa mara 3

1. Utapata kamisheni kwa kushirikisha waandishi wengine kupitia link yako
2. Utapata kamisehni kwa kushirikisha wasomaji ambao ni fans wako ukiwa kama msomaji
3. Utapata kamisheni ya mauzo ya hadithi zako.

Maisha hayahitaji mtu ambaye yuko "TOO SERIOUS" bali "SERIOUS", hiyo mbinu utapa pesa nyingi sana ukiwa kama mwandishi na msomaji kwa pamoja. Lengo ya kila mtu katika maisha ni kuingiza pesa nyingi kwa siku, wiki, mwezi na kwa mwaka , kigumu ni namna ya kuingiza pesa nyingi kwa njia rahisi ndiyo wengi hatujui.

Kuna jamaa anaitwa DANA WHITE alinunua UFC kwa $2M akauza $1B, hapo ndiyo unajua kwamba TIMING ndio kila kitu kwenye maisha. Njia nyepesi ya kutoka ZERO TO MILLIONAIRE ni TIMING. Usipo kujua muda gani nifanye kitu gani ni ngumu sana kufanikiwa.

Fursa ipo kwenye kitu kipya, kuna jamaa yupo YOUTUBE anadili na COMPUTER GAMES kila toleo jipya la PS jamaa anajua kila kitu anaanza kuelekeza namna ya kucheka GAMES zilizopo, jamaa SUBSCRIBES 1B.

DIGITAL CONTENTS especially ENTERTAINMENT INDUSTRY
inalipa sana kama utajua kucheka na fikra za FANS WAKO.

TIMING IS EVERYTHING IN LIFE.
 
Nimepata wazo jipya kuhusu wandishi kuuza kazi zao jukwaa la storika. Wandishi wengi hawajaelewa namna wanavyolipwa kutokana na hadithi zako kuwekwa kwenye jukwaa la storika.

Nimebuni njia nyingine ambayo itakuwa rahisi kwa mwandishi kuuza kazi zake kwenye jukwaa la storika.

Mwandishi analipia huduma ya kuweka kazi zake kwenye jukwaa la storika, lakini malipo wanayofanywa na wasomaji wa hadithi yanaingia kwenye namba zake za simu za ambazo atakuwa ameweka.

Wengi wanahisi wanaibiwa au wananyonywa kwenye maslahi na kuogopa kuweka kazi zao kwenye jukwaa la storika.

Nimefikiria hivyo kutokana na waandishi wengi kuogopa kuweka kazi zao kwenye jukwaa la storika.

Itakuwa rahisi waandishi kulinda kazi zao kuzagaa bila kupata faida kubwa.

Kwenye jukwaa la storika huwezi kopi hadithi kama unavyokopi kwenye mitandao ya kijamii.

Pia kila mwandishi anayemshikirisha mwandishi mwezake anapata kamisheni ya 40% kama atalipia.

Unaweza toa maoni yako kama mwandishi au mdau wa tasnia hii ya fasihi andishi ili kuboresha kazi za waandishi na kupata faida kupitia mtandao(internet).

Karibuni wote wenye kutaka mabadiliko kupitia technologia ya kisasa ya smarphone.

Nia na madhumuni ya njia hii ya kuuza hadithi ni ku hide content na kufanya iwe demanded kwa wasomaji wa hadithi.(To create demand).

Tunajua low supply high demand.

Tunapata wateja wengi kwa kutengebeza uhitaji wa huduma au bidhaa na sio kusubiria uhitaji.
 
Storika ndio ambayo boss wake anadanganya Watu watapata Pesa kwa kudownload application ya Denti?

I didn't mean to say that, lakini credibility ni kitu cha msingi sana katika hizi online businesses.

Mimi siwezi kumuamini tena!
Mwaga vitu hapa tupone
 
Nimeshindwa hata nikusaidiaje maana unaongea kitu ambacho huajajaribu au huna elimu nacho. Lack of education is poison.

DENT ni coin ambayo inadili na recharge airtime na wana app yao ambao inakupa coins wewe mwisho wa siku unazbadlisha kuwa salio very simple kama utaelewa producers ila kama utaelewa kila mtu kwenye mtandao utamwita mwongo au tapeli hiyo yote ni utaki kutumia akili yako ku questions vitu. Quick decision is wrong decision. Na evidence naweza kukuonesha nimepokea salio baada ya kuuza dent coin.

Uwaga na evidence ya kitu , siwezi kukurupuka kusema kitu bila research. No search No right to speak.

Be optimistic .

cheers!
 
Nimepata wazo jipya kuhusu wandishi kuuza kazi zao jukwaa la storika. Wandishi wengi hawajaelewa namna wanavyolipwa kutokana na hadithi zako kuwekwa kwenye jukwaa la storika.

Nimebuni njia nyingine ambayo itakuwa rahisi kwa mwandishi kuuza kazi zake kwenye jukwaa la storika.

Mwandishi analipia huduma ya kuweka kazi zake kwenye jukwaa la storika, lakini malipo wanayofanywa na wasomaji wa hadithi yanaingia kwenye namba zake za simu za ambazo atakuwa ameweka.

Wengi wanahisi wanaibiwa au wananyonywa kwenye maslahi na kuogopa kuweka kazi zao kwenye jukwaa la storika.

Nimefikiria hivyo kutokana na waandishi wengi kuogopa kuweka kazi zao kwenye jukwaa la storika.

Itakuwa rahisi waandishi kulinda kazi zao kuzagaa bila kupata faida kubwa.

Kwenye jukwaa la storika huwezi kopi hadithi kama unavyokopi kwenye mitandao ya kijamii.

Pia kila mwandishi anayemshikirisha mwandishi mwezake anapata kamisheni ya 40% kama atalipia.

Unaweza toa maoni yako kama mwandishi au mdau wa tasnia hii ya fasihi andishi ili kuboresha kazi za waandishi na kupata faida kupitia mtandao(internet).

Karibuni wote wenye kutaka mabadiliko kupitia technologia ya kisasa ya smarphone.

Nia na madhumuni ya njia hii ya kuuza hadithi ni ku hide content na kufanya iwe demanded kwa wasomaji wa hadithi.(To create demand).

Tunajua low supply high demand.

Tunapata wateja wengi kwa kutengebeza uhitaji wa huduma au bidhaa na sio kusubiria uhitaji.
Nimevutiwa sana tuwasiliane 0658328596 whatsup nahitaji kuviweka
 
Back
Top Bottom