issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
raia mmoja nchini pakistan amenusurika kifo baada ya kutoa ushuzi wenye sauti kubwa uliodhaniwa ni bomu.taarifa kutoka kwa mtu huyo aliyenusurika kifo amesema kuwa alivyoona amebanwa sana na majambazi waliotaka kumua kwa mapanga aliamua kujamba.majambazi hao ambao anasema walikuwa kama sita walikimbia sehem tofauti tofauti baada ya kusikia mlio huo ambao walihisi ni bomu