Anusurika Kifo Baada Kujirusha Toka Ghorofa ya Tano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anusurika Kifo Baada Kujirusha Toka Ghorofa ya Tano

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 28, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  <tbody>[TR]
  [TD="colspan: 3"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #e1e1e1"]
  [TD]
  [​IMG]
  Madirisha yaliyoachwa wazi ndiyo yaliyookoa maisha ya mwanamke huyu[/TD]
  [TD] Saturday, July 23, 2011 7:36 PM
  Unaweza usiamini kwamba madirisha yaliyokuwa yameachwa wazi ndiyo yaliyookoa maisha ya mwanamke mmoja nchini China ambaye alijirusha toka ghorofa ya tano.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"] Mwanamke huyo mkazi wa Shanghai nchini China alijirusha mwenyewe toka ghorofa ya tano lakini alinusurika maisha yake kutokana na kujipigiza kwenye madirisha kadhaa yaliyokuwa yameachwa wazi.

  Kutokana na kujipigiza kwenye madirisha wakati akiporomoka toka ghorofa ya tano, spidi ya kuanguka kwake chini ilipungua na hivyo kumfanya apate majeraha kidogo na hivyo maisha yake kunusurika.

  Mwanamke huyo alijirusha mwenyewe mbele ya watu wengi waliokuwa wamejazana chini kumshuhudia mwanamke huyo akijiandaa kujirusha.

  Sababu ya kujirusha inaaminika kuwa kuna mtu alikuwa akimtisha mwanamke huyo na kupelekea mwanamke huyo aamue kujirusha mwenyewe kupitia kwenye dirisha la ghorofa ya tano.

  Mwanamke huyo ambaye jina lake halikutajwa, alifanya kitendo hicho ikiwa ni siku chache baada ya kugundulika anasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa schizophrenia ambao humfanya mtu awe kama amechanganyikiwa na mwenye mashaka mashaka.

  Mwanamke huyo amelazwa hospitali na hali yake inaendelea vizuri.

  Gonga Linki chini kwa picha za kuanguka toka ghorofa ya tano za mwanamke huyo.[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]



  [​IMG]

  Unaweza usiamini kwamba madirisha yaliyokuwa yameachwa wazi ndiyo yaliyookoa maisha ya mwanamke huyu wa nchini China ambaye alijirusha toka ghorofa ya tano.[TABLE]
  <tbody>[TR]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145



  Huyo mdada alijirusha kweli?
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Ana baharti sana.
   
 4. Lutter

  Lutter Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 23, 2008
  Messages: 66
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Nadhan hatarudia tena kujirusha!
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Wewe kwa Macho yako unaonaje hiyo Picha? Unauliza jibu mbona?
   
Loading...