Anuani zote ni za Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu na siyo za Waziri Mkuu!!Nisaidieni wakuu
Asante kwa mawazo mazuri, mfano niandikeje na nitumie anuani gani kati ya hizo hapo, nataka imfikie na aione waziri mkuu.Anuani zote ni za Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu na siyo za Waziri Mkuu!!
Ukitaka barua imfikie Waziri Mkuu binafsi andika jina lake na cheo chake kwa anuani hizo hizo! Barua hiyo itapokelewa na Katibu wake binafsi ambaye atamkabidhi!
Tumia yoyote. Kote ni kwakeAsante kwa mawazo mazuri, mfano niandikeje na nitumie anuani gani kati ya hizo hapo, nataka imfikie na aione waziri mkuu.
Jaribu hiiNimekosea kuattach, yaan kuna hizi mbili ya DSM na Dodoma ipi nikiitumia barua yangu itafika katika ofisi ya waziri mkuu? View attachment 451092
Umechanganya madesa. Chief Secretary ni katibu mkuu kiongozi ofisi ya rais haihusiani na ofisi ya waziri mkuuNdugu wana JF naombeni mnisaidie kutambua anuani sahihi ya Mheshimiwa waziri mkuu kati ya hizi mbili ni ipi ambayo niktuma barua inaweza kufika ofisini kwake.
Asanteni sana.
View attachment 451087View attachment 451087View attachment 451087
Nimekosea kuattach, yaan kuna hizi mbili ya DSM na Dodoma ipi nikiitumia barua yangu itafika katika ofisi ya waziri mkuu? View attachment 451092
Hiyo sawa hata ukitaka kumwandikia mheshimiwa rais binafsiAnuani zote ni za Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu na siyo za Waziri Mkuu!!
Ukitaka barua imfikie Waziri Mkuu binafsi andika jina lake na cheo chake kwa anuani hizo hizo! Barua hiyo itapokelewa na Katibu wake binafsi ambaye atamkabidhi!
Wewe unaonekana unaajenda ya siri, umeambiwa barua zote lazima zipitie kwa Katibu Ofisi ya Waziri Mkuu, kama ni ya ofisi Katibu ataishughulikia kama binafsi Katibu atamkabidhi Waziri Mkuu......Au hoja ni kujua ofisi ya waziri Mkuu iko wapi kati ya Dar na Dodoma.?Asante kwa mawazo mazuri, mfano niandikeje na nitumie anuani gani kati ya hizo hapo, nataka imfikie na aione waziri mkuu.
Nimekosea kuattach, yaan kuna hizi mbili ya DSM na Dodoma ipi nikiitumia barua yangu itafika katika ofisi ya waziri mkuu? View attachment 451092