Anuani sahihi ya Waziri Mkuu ni ipi kati ya hizi?

GIPAMA

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,103
541
Anuani
 
Attachments

  • Screenshot_2016-12-27-16-49-41.png
    Screenshot_2016-12-27-16-49-41.png
    14.9 KB · Views: 120
Nisaidieni wakuu
Anuani zote ni za Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu na siyo za Waziri Mkuu!!

Ukitaka barua imfikie Waziri Mkuu binafsi andika jina lake na cheo chake kwa anuani hizo hizo! Barua hiyo itapokelewa na Katibu wake binafsi ambaye atamkabidhi!
 
Asante kwa mawazo mazuri, mfano niandikeje na nitumie anuani gani kati ya hizo hapo, nataka imfikie na aione waziri mkuu.
 
Ofisi ipo Dom, ukimuona Dar Jua Kaitwa na Broo Magu kutafuta walau Sanda ya Faru John maana Magembe anasema Kasahau Kaburi hawakujengea
 
Anuani zote ni za Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu na siyo za Waziri Mkuu!!

Ukitaka barua imfikie Waziri Mkuu binafsi andika jina lake na cheo chake kwa anuani hizo hizo! Barua hiyo itapokelewa na Katibu wake binafsi ambaye atamkabidhi!
Hiyo sawa hata ukitaka kumwandikia mheshimiwa rais binafsi
 
Asante kwa mawazo mazuri, mfano niandikeje na nitumie anuani gani kati ya hizo hapo, nataka imfikie na aione waziri mkuu.
Wewe unaonekana unaajenda ya siri, umeambiwa barua zote lazima zipitie kwa Katibu Ofisi ya Waziri Mkuu, kama ni ya ofisi Katibu ataishughulikia kama binafsi Katibu atamkabidhi Waziri Mkuu......Au hoja ni kujua ofisi ya waziri Mkuu iko wapi kati ya Dar na Dodoma.?
 
Nimekosea kuattach, yaan kuna hizi mbili ya DSM na Dodoma ipi nikiitumia barua yangu itafika katika ofisi ya waziri mkuu? View attachment 451092

hiyo pia bado ni ya Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu. Sijajua nini hasa lengo la uzi wako ila inaonyesha kuwa hauna ufahamu wa hasa ni ofisi gani za serikaali ziko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Pia weka wazi unaachotafuta ni Anuani ya Ofisi zilizo chini ya waziri mkuu au waziri mkuu mwenyewe
 
Back
Top Bottom