Antonio Nugaz, Captain Gadner G.Habash na Phillip Mwihava, nani mkali wa matangazo?

Kila mmoja ana radha yake. Kila mmoja mzuri (best) kwa namna yake. Sema tu Philipo kwenye matangaxo ya amsha amsha hanogi.
 
" Mademu over here, mademu over there" hahaha captaiiiin!....daah mimi namsapoti Antonio, kuna baadhi ya adverts huwa anapita nazo captain anaona vumbi
 
hapana hayupo clouds tena mkuu kahamia wasafi fm. Clouds wamemtumia sana kaamua akimbilie wasafi ajenge shavu.
Khaa.!!Lini tena mkuu?Wasafi Media wamechukua dhahabu trust me..anafanya pindi gani pale au yupo kwenye production??
 
Mwihava mtoe apo kabisa hafai kushindanishwa na Hao Watu wawili.....uuum..next Captain is legend yuko vizuri zaidi ila Nugaz anakuja kwa kas kwel kwel (in JK's Voice)
 
RIP kibonde alikua hatari,then capitain,nugaz.
Nakumbuka tangazo la kibonde la yanga daaah
 
Wote wachumba tu m naipenda kusikia sauti za dhahabu kwny jingle kama ya Steve Kafire.
 
Back
Top Bottom