Antonio Nugaz, Captain Gadner G.Habash na Phillip Mwihava, nani mkali wa matangazo?

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,051
Habarini za muda huu wadau..Nimekua nikifatilia matangazo mengi sana ya Redio na Tv hapa Bongo especially Clouds FM na TV.
Clouds FM haiwezi kupita siku bila kuskia tangazo la Phillip Mwihava,Gadner G.Habash na Antonio Nugaz.
Antonio Nugaz(Mtembezi)anae'run kipindi cha Kambi popote pale Clouds TV ambae pia ni Mshereheshaji'MC' wa sherehe mbalimbali,akiwa pia kasomea mambo ya ICT,Huyu jamaa huchoki kuskiliza matangazo yake na ana uwezo wa ku'create Matangazo ya aina nyingi na kuyatia nakshi na mbwembwe au Udambwi udambwi mwingi alaf yanavutia kinoma yaani,Iwe matangazo ya Mpira,Vyuo,Shule...Mfano matangazo ya Yanga wiki ya mwananchi,Kikosi cha Simba,Ni vita ya Tanzania na Congo kwenye Masumbwi nk.
Phillip Mwihava ni Mtangazaji wa Kipindi cha Powerbreakfast on Saturday,pia ni Mshereheshaji'MC'na Producer/Muandaaji wa Kipindi cha Powerbreakfast cha asubuhi saa1 hadi4 cha kina Barbara Hassan,Sizza,Masoud Kipanya na Fredwaa,,,Huyu jamaa anafanya na kusoma matangazo mengi sana ya Vyuo,Shule,biashara kwa utulivu sana..Hakika hachoshi kumsikiliza.
Captaaaaiiiiinnnn Gadner G.Habash,Huyu Dingilii ni Mwanzilishi na Mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi la Clouds FM saa10 hadi Saa1 Usiku akiwa na George Bantu na Paul James'PJ'pia nae ni Mshereheshaji'MC'Yupo kama Mtembezi matangazo yake yana Mbwebwe na udambwidambwi mwingi sana unaovutia,Gadner hu'create na ku'air matangazo ya Show mbalimbali za wasanii mfano Nandy festival,East Africa Got Talent Pamoja na Fiesta,pia hufanya matangazo ya Burudani kama vile Boxings,Football match nk.
Swali ni jee..?Yupi unaemkubali kwa matangazo kati ya hawa raia mtu3?
@ChaliiYaKijengeJuu.
 

Attachments

  • Aa.JPG
    Aa.JPG
    11.6 KB · Views: 46
  • Aah.jpg
    Aah.jpg
    22.4 KB · Views: 52
  • Ah.jpg
    Ah.jpg
    17.7 KB · Views: 53
Gadna hatarii sana yule jamaa
Mimi nataka kuwajua wale jamaa walio rap lile tangazo la halotel..wanajua sana wale
Aaah wale ni Maarifa the Big Thinker msanii wa Madee alietoa ngoma na Janjaroo juzi hapa inaitwa Acha iwe,,Alaf yule mwingine wa 'Bundle imenona sijui imelishwa nini'anaitwa Black MC alishinda Freestyle Buttle kwenye Open Mic.
 
Antonio nugaz anatangaza poa na misemo anahoipangilia vina na ina maana kama ile dodoso la mtembezi yuko vizur na captain kias hasa lile tangazo la flavour night
 
Mzee baba Gadner hana mpinzani na hata mshahara anaolipwa anawazidi watangazaji wote. Jamaa akikutangazia tangazo lazima uuze. Marehemu Kibonde nae alikuwa vizuri sana. Antonio Nugaz anajitahidi ila apunguze maneno mengi watu wanataka facts sio details
 
Antonio Nugaz ana maneno mengi yasiyo na mpangilio mzuri. Anajaribu kujitofautisha lkn kuna sehemu anakosea.
Gadner ni mtangazaji bora kabisa wa matangazo baada ya marehemu kibonde.
 
Back
Top Bottom