sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,727
- 11,110
Kwaiyo unataka walia standard kama mm sio?mhhh kumekucha sasa! ila mwanaume akiwa mzuri mzuri kama hivi anipitie pembeni kabisa,maana ni presha tupu kila mja anapata crush naye kama hivi.
Kwaiyo unataka walia standard kama mm sio?mhhh kumekucha sasa! ila mwanaume akiwa mzuri mzuri kama hivi anipitie pembeni kabisa,maana ni presha tupu kila mja anapata crush naye kama hivi.
ah siezi jua maana sikufahamu sura yako! so itakua vigumu kukupa hiyo sifa.Kwaiyo unataka walia standard kama mm sio?
mdogo ake wa chiniyaani anakuvutia wewe halafu unataka mdogo wako ndio awe naye? seriously !!!