Antiminers

Smokey D

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
2,632
Reaction score
2,115
Habari wakuu!
Anaejua zaidi hizi mashine ubora wake upatikanaji wake pia faida na hasara ya bitcoin..
Pia nasikia zinaconsume umeme mbaya na kelele kama engine ya trekta.
Anaejua zaidi naomba unieleweshe
 
Pm me nikupe number ya bitcoin miner, for privacy reasons
 
Habari wakuu!
Anaejua zaidi hizi mashine ubora wake upatikanaji wake pia faida na hasara ya bitcoin..
Pia nasikia zinaconsume umeme mbaya na kelele kama engine ya trekta.
Anaejua zaidi naomba unieleweshe
Hiyo ni machine ya nn kwanza wengine wageni hapa
 
Mkuu bitcoin kwa sasa inabidi uwe mjuzi kwelikweli, walifaidi wa mwanzo, inalipa ila sio kivile.

Kuna hawa jamaa wanauza mining hardware unaweza kuwacheki.
gpuShack - Mining Hardware for Large Scale Deployment

Pia vitu kama hivi unaweza ukatengeneza mwenyewe, ila ulaji wa umeme uwe first priority tafuta hardware ambazo ni efficient.

Nimecheki hio Antminer (Hardware) inakula umeme watts 1200~ inaweza zidi kidogo ama kupungua kidogo na bei ni dola 500 bila power supply.

Ushauri wangu fanya utafiti kwanza watu wanapata average kiasi gani, kisha uje uangalie na Tanesco nao unawalipa kiasi gani, sababu hapo faster faster umeme unaweza ukaenda kama wa laki 3. Na hujui durability ya hio miner ilio gharimu zaidi ya milioni 1.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…