(Anti-Tanesco system) Naachana na TANESCO na bili zao kubwa - JE WEWE?

Gari la Umeme,so ukiwa na Anti-Tanesco system,unachaji gari lako kila usiku kama unavyochaji simu,then asubui unaondoka mzigoni :)
lets think out of the box
 
Kweli haya ni mawazo mazuri sani watu mmeanzisha topic kama hizi naamini kuna wengine mna uelewa mkubwa na masuala ya umeme nimefuatilia kwa karibu juu ya hii program ya EWURA ya wafuaji wadogo wadogo wa umeme na kuna bei wameziainisha pale kwa mfano

The proposed Tariff for the year 2011 for the sale of electricity to the Main
Grid in Tanzania

1 megawatt is 1000 kilowatts, and there are 31 x 24 = 744 hours in a month and 1 hr =60X60 sec, so in a month (31 days) we would get (1000X24X31)KWh=744 X103 KWH

That means in a month you obtain 744000kwh X 134.92=100380480.00000TSH/PER MONTH SO THE PROFIT DEPENDS ON YOUR MONTHLY OPERATIONS

Dry Season (August to November) 134.92 TZS/kWh

Wet Season (January to July, and December)101.19 TZS/kWh

Je hizi KWh ngapi ni MW 1?
mfano mtu ana windmill ya MW 1 na anataka kuuza TANESCO je kwa mwezi anaweza kukusanya kiasi gani maana yake pia windmill iko complicated sana na hasa kwenye servises zake nasikia aghali na inahitaji utalaamu

na je kwa maisha ya sasa hii 101.19 TZS/kWh ni sawa au ni bora kufua umeme na kuwauzia kijiji fulani

1 megawatt is 1000 kilowatts, and there are 31 x 24 = 744 hours in a month and 1 hr =60X60 sec, so in a month (31 days) we would get (1000X24X31)KWh=744 X103 KWH

That means in a month you obtain 744000kwh X 134.92=100380480.00000TSH/PER MONTH SO THE PROFIT DEPENDS ON YOUR MONTHLY OPERATIONS
 
kufua umeme na kuiuzia tanesco siyo lengo zuri,Tanesco is a Dinosaur ,wana running cost na overheads kubwa mmno.
Tukiwa na Windmill and Solar Energy ,tunakuwa 1-Bill Free. 2 -tuna saidia Global warming kupungua (kama kweli ipo)
na tunawaachia Tanesco kudeal na Watumiaji wakubwa wakubwa eg viwanda na migodi
 
Tatizo la Umeme - Tuondokane na shirika moja kushika hatamu za huduma
Kuondokana na tatizo la umeme ni kuruhusu mashirika mbalimbali na watu binafsi kutoa huduma hiyo. Siku za nyuma tulikuwa na matatizo ya shirika la simu nchini na huduma yao ilisumbua mno watu, lakini baada ya mashirika binafsi mengi kuanza kutoa huduma hizo sasa tatizo la simu imebaki historia tu.
Iwapo watu binafsi wataruhusiwa kutoa huduma ya umeme ni matumaini yangu gharama za umeme zinazolalamikiwa zitapungua kutokana na ushindani.

Gharama ya umeme kwa sasa ni kubwa zaidi kwa sababu ya mzunguko wake na kila unakopitia kila mmoja anataka ulaji. Makampuni yanayosaidia kuchangia umeme kwenye grid ya taifa yanauza umeme huo kwa kampuni ya Tanesco na Tanesco inatuuzia sisi. Ingekuwa bora Makampuni hayo yatoe huduma hiyo moja kwa moja hivyo gharama zingepungu.

Katika utawala wa Mzee Ruksa kulikuwepo na matatizo makubwa sana ya usafiri na alitumia utashi kuruhusu watu binafsi kusaidia kutoa huduma kwa watu na leo imebaki ni hadithi za kusimuliwa tu.

Kuna mitambo ya kufua umeme ya gharama za kawaida tu ambayo wengi wanaweza kumudu kununua na kusambaza huduma hizo kwa majirani. Kuna mitambo inayoendeshwa kwa nguvu ya upepo inaendeshwa kwa gharama nafuu kwani katika maeneo mengi Tanzania yanakubalika kwa kufua umeme kwa njia hiyo.

Watu binafsi wafunzwe namna ya kuhifadhi umeme wanaonunua toka makampuni ya umeme kama Tanesco nk. Wawe na bettery za kuhifadhi umeme huo hivyo wakati unapokatika wanatumia umeme waliouhifadhi.

Njia nyingine ni kununua mitambo solar energy ya kufua umeme kifamilia. Hiyo ni kwamba unagharimia mara moja for life. Bills za umeme itabaki historia vinginevyo kama una mashine kubwa ndani ya nyumba yako.

Bila makampuni binafsi kuanza kusambaza huduma za umeme mchezo wa kisiasa utabaki palepale kama mchezaji anayecheza danadana ndani ya pernalt area badala ya kutandika mkwaju golini.​
 
Masafa ya mbali ya umeme nchini yanasababisha kupoteza nguvu nyingi za umeme njiani na tukitilia maanani hatuna transformer za kutosha za kuweza kuthibiti nishati hiyo ibaki stable.

Kuruhusu makampuni mengine kutoa huduma hiyo moja kwa moja kikanda itapunguza nguvu kubwa ya umeme inavyopotea njiani.
Kungekuwa na kanda za huduma kama kanda ya Kaskazini, kanda ya kaskazini magharaibi, kanda ya nyanda za juu, kanda ya kati, kanda ya mashariki na kanda ya kusini.

Makampuni yangepewa uwezo wa kusambaza huduma hiyo kikanda na hapo ushindani ungekuwa mkubwa na Tannesco ingekuwa mbia tu wa kutumiwa vitendea kazi vyao kama nguzo na njia za umeme ambazo wanatumia makampuni mengine.

Huu ndio ushindani wa kiuchumi
 
Idea ya kuwa na makampuni mengi ya umeme ni nzuri ila lazima ufikilie implementation zake na maisha ya binadamu kwa ujumla kwa simu iliwezekana kwa sababu yale makampni yanatoa huduma za simu za mkononolakini kwa umeme hauwezi ukatoz mobile electricity unahitaji miundo mbinu mingi zaidi kama nyaya au mistimu ya umeme sidhani kama serikali itaruhusu bararani kuwe na misiimi mingi zaidi ya kampuni tofauti hata hao songas na wengine walifikiria hilo lakini wakajikuta gharama ni kubwa kuliko walivyo zani kwa hivyo tunarudi pale pale makampuni mengi yatakapoongezeka na kutoa huduma zao kwa kuuzia tanesco basi umeme utashuka bei kwani TANESCO itabaki kuwa msambazaji wa huduma wakati makampuni binafsi yatabaki kuwa wafuaji umeme leo hii umeme aghali kwa sababu MW zinazokusanywa ni ndogo kwa hivyo lazima waziuze kwa bei kubwa
 
Hiyo Inverter inazalisha watts ngapi ?, na Je unaweza tumia vitu vyote muhimu yaani TV, Fridge Radio pamoja na pasi ?
 
mkuu naunga mkono hoja kwa nguvu zote ifike mahali turuhusu akili zetu zifanye kazi kwa kadri tunavyogandamizwa na sio kuridhika na kukubali matokeo kama kuwapinga mafisadi kwa maandamano kama wamisri atuwezi bac tucshindwe kujikomboa wenyewe pls wenye ujuzi huu tushangie mawazo hapa na kuanza kujikomboa hapa hapa jamvini hivi akuna m2 mwenye uwezo wa kutengeneza invertor charger yani itoe umeme wakati huo huo ijichaji yenyewe niliwai kutana na mjeshi mmoja akaniambia anaweza kufanya hiyo k2 ila tulipotezana mpaka leo ila najua hapo hapashindikani k2 jf kweli siipendi tanesco na unyonyaji wao na kwavile inaendeshwa kisiasa awataruhusu watu wengine wafanye hii biashara so tujikomboe binafsi nilikuwa na wazo la kununua solar
 
Idea ya kuwa na makampuni mengi ya umeme ni nzuri ila lazima ufikilie implementation zake na maisha ya binadamu kwa ujumla kwa simu iliwezekana kwa sababu yale makampni yanatoa huduma za simu za mkononolakini kwa umeme hauwezi ukatoz mobile electricity unahitaji miundo mbinu mingi zaidi kama nyaya au mistimu ya umeme sidhani kama serikali itaruhusu bararani kuwe na misiimi mingi zaidi ya kampuni tofauti hata hao songas na wengine walifikiria hilo lakini wakajikuta gharama ni kubwa kuliko walivyo zani kwa hivyo tunarudi pale pale makampuni mengi yatakapoongezeka na kutoa huduma zao kwa kuuzia tanesco basi umeme utashuka bei kwani TANESCO itabaki kuwa msambazaji wa huduma wakati makampuni binafsi yatabaki kuwa wafuaji umeme leo hii umeme aghali kwa sababu MW zinazokusanywa ni ndogo kwa hivyo lazima waziuze kwa bei kubwa

Kuwa na makampuni ya umeme zaidi ya Tanesco inawezekana kwa maana ya kuhudumia kikanda. Miundombinu ni ile ile, kwa maana kwamba makampuni mengine yatakuwa yanatumia njia za tannesco na tanesco watakuwa wanalipwa rent ya njia zao. Utaratibu huu hutumiwa pia na nchi nyingi, kwani utaona milingoti hiyo hiyo hutumika kwa nyaya za umeme, television cable, na simu.
 
Yes it can be done,
but remember price is regulated and there is nowhere, where transmission lines are left to IPP's they are all state owned..further info pm me
Mhandisi wa mifumo na njia kuu za umeme
 
Anti-Tanesco system Hii kitu nimependa sana mkuu,
siri si lazima kutumia njia mbadala lasivyo Tanzania hapatakalika
Uzuri wa hizo njia mbadala bado zinakuwa ni affordable sana kwani baada ya kuweka hizo solar pannel unakuwa na uhakika wa kutumia umeme zaidi ya miaka 10
Yes I like this Idea
 
wakati Tanzania kuna kampuni moja ya Simu (Posta na Simu) ,kufungiwa line ilikuwa dili kama ilivyo sasa kufungiwa umeme na tanesco,walipoingia Mobitel na Tritel,Adesemi (phonebox) watz tukapata nafuu.

Nuwa -Dawasco pia sasa cha moto wanakiona kwani watu wanatumia visima binafsi.

Now its TIME for Tanesco Kuadibishwa.kwani watakosa wateja wengi,hivyo uwezo wa kujiendesha utazidi kupungua,wafanyakazi watapungwa,na watakao baki watakuwa na adabu kama walivyo wa TTCL kwa sasa.

Ewura pia watakosa visijisent via makato ya LUKU.

kama unaweza kununua Gari ambalo every day unalipia mafuta,itakuwa bora uzalishe umeme wako ,then later unanunua gari la umeme,(made in China its around 3000 USD)so u kill 2 birds with 1 stone.

Hapo kwenye red mkuu sikubaliani na wewe,
dola 3000 au unamaanisha 30,000usd??
Electric car is still very very expensive ,si china hata huko Ulaya ni wachache sana wanaozinunua kwa sasa
gharama zake kwa china ni kama mara mbili hadi mara nne ya bei ya gari za aina yake zinazotumia petrol.
 
Wadau wa JF
nimeamua kuachana na Tanesco na Bili kubwa za Luku,huduma mbovu ya mgao,usio eleweka,Osterbay umeme haukatiki(nimeona mara 2 mfululizo-u may correct me on this),mgao wa upendeleo.

Umeweza kununua gari ya milioni 5,umejenga nyumba ya millioni 35,Je utashindwa kufunga umeme milioni 2 wa uhakika bila kero za Tanesco.its time to have an Anti-Tanesco system installed in your house
Nimeshatengeneza inverter na battery charging system,kwa sasa ninatumia backup inayochajiwa na tanesco.
Sasa nashughulikia WindMill (kata Upepo) nikishaunga tu kata upepo yangu,nadisconnect Tanesco ,siwataki na siwahitaji Ng'O
Ninapoishi kuna upepo wa kutosha,kwa wale ambao hamna upepo u can hookup a solar pannel.

Nataka ni approach local bank kuona uwezekano wa kutoa mikopo ili niwauzie waTz wenye hasira na Tanesco kama mimi.
How its going to Work:
Unapata mkopo From the Bank ,eg Exim at a reasonable intrest.The Banks pays for the Anti-Tanesco system,then unaletewa na kufungiwa with a guarantee and service agreement,after a month the Bank wanaanza kukukata fedha kidogo kidogo from your salary or ur account

kama utapenda kuwa mmoja wapo tafadhali nitumie PM yenye email yako na mji unaotarajia kufunga Anti-Tanesco System

Nikishafanikiwa nawaandikia Tanesco waje wachukue box lao la LUKU.nawapa talaka ya moja kwa moja.

Nakuunga mkono mkuu kwa utundu wako wa kiufundi.
Mimi pia nimefunga 2 nos 100AH deep cycle batteries zinazochajiwa na a slow charger.Hii ni pamoja na 3000watts inverter inayonipatia umeme wa uhakika kwa masaa mengi tu.Taao zote ,TV , feni(hata AC kwa nusu saa) navitumia kwa kila siku.
Mimi siilaumu TANESCO , tatizo lao wana jiwe shingoni linalowazamisha.
Watanzania tutumie hii teknolojia, matatizo yatufundisha mengi.
NB Ninapoandika hii contribution sina umeme wa TANESCO nyumbani natumia huu wa battery na inverter!
 
safi sana mkuu,thats the way forward.sasa unachotakiwa kufunga ni kifua upepo -WindMill ,itakuwa inacharge hizo betry,ndo Anti Tanesco yenyewe,yaani hapo itabidi tanesco waje kukubembeleza kwa nini haulipii Service Charge yao.
kama upo dar,almost kila sehemu ina upepo wa kucharge a simple home power needs like yours.

Back
Top Bottom